Recent content by Smart lady

  1. S

    Nitakuoa

    Hahahaaaa.Kuna kaka mmoja alijidai kumwambia dada mmoja nitakuoa.Walikuwa wana miaka miwili kwenye mahusiamo.Dada akaja na mimbinu yake na kumwambia kaka kuwa yeye ni mjamzito.Kaka bila haya alianza kujiuma meno na kusema nitajuaje kama hiyo mimba ni yangu na maneno mengii ambayo hayana kichwa...
  2. S

    Amani na Usalama wa Tanzania uko kwa Watanzania wenyewe

    Mimi hata siwalaumu wana mtwara kwa hayo wanayoyafanya.Tuwe wakweli,mtu ukiwa na hasira na kuchoka kunyanyasika kinachofuata ni kuchukua hatua. Waacheni wana mtwara wachukue hatua mpaka kieleweke.Mkataba walioingia lazima uwekwe wazi na wana mtwara na lindi wajue watafaidika vipi na mkataba huo.
  3. S

    Nataka Kuoa Nitulie, Msaada Please

    hahaaaaa!kumbe bado kuna watu wanaoa kabila.Kazi kweli kweli.Nimecheka kama unataka kukwepa stress.Nisikufiche mkuu,kama unaishi kwenye sayari tatu, stress zipo tuu, but tunajitahidi kuzipunguza.Mbinguni tuu ndio hamna stress.hata ukiishi ndani ya bahari utapata stress za harufu ya samaki bhana.
  4. S

    ZIFAHAMU SEHEMU KUU 8 ZENYE MSISIMKO wakati wa MAUJANJAAAA

    Ukiibuka na la jf bila kufanya utafiti wa kujitosheleza, waweza jikuta unaachwa na mpenzi wako. Kuna jamaa mmoja alijidai anaongeza maujuzi kwenye ndoa yake.akampinduia mkwewe akaanza kuingiza ulimi kwenye mk...u; weeee! alishangaa kibao usoni cha maana.alipomuuliza mkewe kulikoni akamjibu...
  5. S

    Nateseka jamani na mapenzi!

    Mpende akupendaye, asiyekupenda achana naye.Tena mshukuru Mungu wako huyo amekuonyesha mapemaaa kwamba hakuhitaji. Siku zote, usikubaliane na moyo,ishirikishe akili yako itafakari mara mbili.
  6. S

    Sasa Nimeamini JF ni kila kitu, hatimae am in a relationship!!!

    Hongereni sana. Mie nipo Smart kama jina langu, naomba nipange kamati ya kukaribisha wageni na kufungua shampeni.
  7. S

    Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

    Ngoja nicheke kama Lara 1.HAHAAAAAAAAA.Haloooooooooo! Habari zikufikie ndugu yangu Apolonary. Malipo ni hapahapa duniani Uliwagegeda mi dada 4 halafu ukawatupilia wote mbali Huyo ni wa kwanza kukutupa na wewe.Subiri wengine watatu utakuwa sasa umefikia wakati wa kuoa...
  8. S

    Mtoto aliyekataliwa na baba yake

    Walimweusi, achana na huyo kaka yako.Msaidie malaika huyo nawe utapata baraka.omba support kwa mama awe upande wako. Napenda sana mtu mwenye kusimamia maamuzi yake kama yana msingi.Usitake kuyumbishwa, uliamua mwenyewe kusaidia huyo malaika,just go on.Umetumia busara sana kutowagonganisha yeye...
  9. S

    Kati ya baba na mama wewe unampenda nani?

    Mimi nawapenda sana wazazi wangu wote wawili.Lakini mama yangu alikuwa zaidi ya mama.Sikuwahi kuishi na baba but niliwahi kushuhudia mama akilia juu yangu kisa baba amekataa kunisomesha fomu one.Kwa chozi la mama na maneno aliyomtamkia baba alijikuta mwenyewe anakubali kunilipia ada.Zaidi ya...
  10. S

    Kwa Akili Yangu ya Wanzuki Nikafumaniwa Mchana Kweupe...!

    Mimi nahisi fumanizi hilo ngilo lililokufanya utulie na kuwa mwaminifu mpaka leo.Daah!kwakweli Mungu mkubwa, afadhali ulifumaniwa.
  11. S

    Tujadili: Pre-ndoa... Plan B aka 'BIMA'

    Sidhani kama plan B ni sahihi katika mahusiano but mtu anapokutokea wakati una mtu mwingine ni vizuri kumweleza ukweli kuwa nina mchumba but pia kumweleza process mliofikia.Kama kashajitambulisha au yupo karibu kwenda kujitambulisha au bado mnasomana alama za nyakati au haeleweki.Hii itakufanya...
  12. S

    Nimemwambia simtaki tena, lakini....................!

    Pole sana mkuu.Hili liliwahi mokea rafiki yangu enzi hizo nikiwa chuo.Mimi, yeye na x wake tulikuwa tunaishi dar. X wangu alikuwa anaishi kilimanjaro na kwa bahati rafiki yangu akabahatika kusoma chuo kimoja moshi na x wangu but kabla hajaeda chuoni x wake aliamua kumtolea mahari kabisaaa...
  13. S

    Shangazi yangu ananibaka kila mara, nifanye?

    Bi mdada.umri uliofikia wewe nim mtu mzima.Una uamuzi juu ya mwili wako na jinsi ya kuutumia.Eti anakulazimisha!mimi siamini katika hili na kwamwe shida zangu za kidunia haziwezi nifanya nikauzalilisha mwili wangu.Uvivu wako ndio unaokufanya usiweze kutoa maamuzi, eti ananipa kila kitu.Kweli...
  14. S

    Nimemvua pete ya ndoa kwa hasira

    Kaaah!Kweli wanaume wanapenda kugegeda.Kwa nini umdanganye mtu.Wewe ungedanganywa ungempata wapi huyo unayemwita wife?Pili ukimkuta nae wife anagegedwa nje utamfukuza.Tulia na umpedaye bhana.Bi mdada achana na huyo kiwembe hana maana, mrudishie pete yake na reject namba yake kwa phone...
  15. S

    Kati ya mke msomi sana na wa elimu ya kawaida yupi anajua kutimiza majukumu yake ktk ndoa?

    Jamani nanyi wanaume mkae mkifikiria kuwa na wanawake nao ni binadamu.Tumerudi kazini saa mbili usiku coz tunakaa mpakani mwa dar.Hiyo saa mbili nina home work ya mtoto natakiwa kukagua eti nimwache baby awe zombi nikakupikie wewe na house girl yupo.Ki ualisia hapo natakiwa kuangalia dada...
Back
Top Bottom