Nimemwambia simtaki tena, lakini....................!

Nimemwambia simtaki tena, lakini....................!

Ukiona mwanamke au mwanaume amekubali kutenda tendo la ndoa kabla ya ndoa basi huyo ni mzinifu, na hawezi kuwa mwaminifu kamwe, kama unabisha anza uchunguzi kwa watu wote waliozini kabla ya kuoa au kuoana utaona sio waaminifu. Labda mtu aamue kumrudia mungu kiukweli hapo anaweza badilika lakini hakuna mabadiliko kama mtu hana dini ya kweli, ukioa au kuolewa na mtu asiye na dini ya kivitendo hakuna uaminifu hapo. Sasa sijui wewe sinai unaleta hoja gani hapa kama mliweza kushiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa basi jua uaminifu hakuna hapo. Oa tu kama fashion lakini sio kumiliki peke yako
 
sitira yake nafuu,mwambie lilo na sahihi
ajue pate fahamu,ajue mali na sio mahari
jipe kazi ya mwalimu,mjuze apate akili
naamini kwako si gumu,mjibu na ajue hili.

Amazing......
Mi penda sana hii kitu toka kwako.
 
Pole sana, shikilia msimamo wako, mwambie dada m2 upo busy na issue zako..! Angalizo usimpe hata sekunde ya huyo bnt kujieleza na kujitetea waongo hawakosi maneno atajitetea weeeee mpaka ww ndo utajiona ndo mkosaji..!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
I bet to differ

Yawezekana kabisa hakuwa popote pabaya labda kwa rafki yake na aliona akikwambia ungemkatalia coz wanaume wengine mnapenda sana mapenz ya kugandana,somtimes you may need a break to do silly things with your friends,,,so hapo kosa lake ni kukudanganya na kutokukuaga.....ambayo sio makubwa ya kuvunja uchumba,don't reckon with any advice bila kufanya upembuzi yakinifu baba

Better the devil you know than the angel you don't know
 
Amazing......
Mi penda sana hii kitu toka kwako.

af uliniwahi kunipa tenda ya kukutungia shairi ujue!
ni kwa ajili ya Eiyer au ndo ushapiga chini mazima!?
tumwandikie nani? au The Boss ahahahhahha anaweza asile wiki nzima akawa anashiba mineno tu ya shairi lenye upako pipa zima!
 
Last edited by a moderator:
Usinikumbushe machungu yangu ya miaka hio bhana....niliumizwa sana sana sitakaa nisahau mambo ya akina dada hawa wa chuo, ukiambiwa huwa wanakuja kulalama kuwa kwanini hawaolewi....nadhani zinakuaga laana zetu....ngoja niishie hapa hapa nisije nikaaanza kulia tena, alinitesa sana M..... sina hamu naye kabisa hadi leo
 
Pole sana mkuu.Hili liliwahi mokea rafiki yangu enzi hizo nikiwa chuo.Mimi, yeye na x wake tulikuwa tunaishi dar. X wangu alikuwa anaishi kilimanjaro na kwa bahati rafiki yangu akabahatika kusoma chuo kimoja moshi na x wangu but kabla hajaeda chuoni x wake aliamua kumtolea mahari kabisaaa kumaliza mzizi wa fitna.Kwa kweli alipofika kule chuoni akakutana na X wangu ambaye alimzuzua vibaya mno bi mdada na u handsome boy wake.Walianza mapenzi ya kujificha but za mwizi arobaini.Kufika mwaka wa tatu bi mdada mimba.Mimi sikupoteza muda, ingawa niliumia but sikutaka kujua what next mikammwaga gafla, kukaa muda kidogo jamaa nae huku dar akammwaga bibie na wala hakutaka kudai mahari.Inategemea lakini una moyo wa aina gani.Mimi ukinisaliti tuu,nakumwaga labla kama nitakuwa nawe kwenye ndoa hapo naweza vumilia kwa sababu ya kiapo na nikikukanya ukaendelea akaah, akili ku mkichwa, tutatengana vitanda tuu.Siwezi pata HIV kwa starehe za mtu mwingine.Kufaidi afaidi yeye, uchungu wa kushuka CD4 niupate mimi.Haipo kabisaaa.Tafakari chukua hatua.
 
dah!! kinana bora asamehe hiyo mahali uliyolipa. huyo sio wakuoa kabisa.....wanawake wa sasa ni kugegeda na kuaepa zako mwana. sasa umepoteza miaka mitatu for nothing....b.i.tches!!!!!
 
ukiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanachuo (baadhi) ujue presha lazima itakupata kabla ya wakati

pole sana kosa mara ya kwanza si kosa baya ni kurudia kosa.
 
Ahsanteni wana JF kwa ushauri wenu, nitamwacha rasmi leo na dada yake nitamwambia hilo, na pia ninawaachia mahari yote wabaki nayo!
 
Habari wana JF! Mimi ni mwanaume, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi (mchumba na mali nimetoa kwao) na mdada mmoja hivi kwa muda wa miaka mitatu sasa, yeye ni mwanachuo hapo UDSM na kwa sasa ndo anamalizia degree yake. Last weekend niliamua kumtembelea huko hostel kwake bila kumjulisha, ilikuwa jumamosi nikiwa na lengo la kwenda kumchukua ili tutoke kidogo! Cha ajabu huyo binti sikumkuta, nilipo jaribu kumuuliza mwenzake anaeishi nae chumba kimoja kasema aliondoka tangu jana yake jioni (ijumaa) na hakurudi hadi mida ya saa 10 jioni ambayo mimi nilipofika pale! Nikaamua kumpigia simu, kwavile yeye alikuwa hajui kama mimi nipo pale hostel, akawa ananidanganya eti yupo hostel na tena ameboreka sana, analalamika eti nimemtosa hata simu kutwa nzima sijampigia na mambo mengi! Mimi niliamua kuondoka huku nikiwa nimekasirika sana bila kumwambia kama mimi nimefika pale hostel! Jumapili aliporudi hostel akaambiwa kuwa mimi nilifika na nilimpigia simu nikiwa pale, binti amechanganyikiwa, analia hovyo na anaomba msamaha, tena amemwambia hadi mama yake na dada yake, leo jioni dada yake anataka kuonana na mimi, wadau mnanishaurije? Nimpotezee huyu dada? Kwani mimi nimesha amua kumwacha kabisaa huyo binti, na mali niliyotoa kwao nipo tayari kusamehe!

Utamuacha mtu huku hujamsikiliza?
kutokuwepo hosteli sio lazima awe kwa mwanaume..
labda alienda kwa mashosti.akaona akikuambia hutamuamini
msikilize kwanza
 
Ahsanteni wana JF kwa ushauri wenu, nitamwacha rasmi leo na dada yake nitamwambia hilo, na pia ninawaachia mahari yote wabaki nayo!

Pole sana, lakini kabla hujatamka kumuacha uulize alikuwa wapi ambapo hakukuambia na sababu za kudanganya, yawezekana alikuwa sehemu na rafiki zake tu ambao labda unaonyesha huwakubali sana hivyo akaona akikuambia utakasirika, na pia upate uthibitisho wa huko alikokuwa na aliokuwa nao then muyaweke sawa mambo yenu., Ila kama maelezo yake hayatanyooka vizuri jua hapo umeibiwa tayari, achana nae.
 
ahsanteni wana jf kwa ushauri wenu, nitamwacha rasmi leo na dada yake nitamwambia hilo, na pia ninawaachia mahari yote wabaki nayo!
mkuu nipe mimi basi nibutue, we si unaacha
 
Namchukia mtu muongo, namchukia mtu asiye muaminifu. Kwa vile roho yako ishaingia kinyongo, basi ni vyema umuache; kipindi cha uchumba maana yake ni kuchunguzana tabia so mshukuru Mungu kwa kukuonesha tabia ya mchumbao.

dada mbona wadada wote wa humu JF mliochangia huu uzi mpaka hapa nilipofikia kusoma comments mmeshauri mdada mwenzenu apigwe chini?hamwunei Huruma mwenzenu?
 
piga chini bwana.kwanini mtu asitulize k yake.
kwanini ulishwe haramu? kwanini mtu asikitulize,piga chini tena kapime afya yako ujue moja..

umependeza sana. hongera.

avatar48795_26.gif
 
Mkuu hawa wanachuo ni wa kuwachukulia kama walivyo. Pasua kichwa sana. Hebu muulize alikuwa wapi?
 
I bet to differ

Yawezekana kabisa hakuwa popote pabaya labda kwa rafki yake na aliona akikwambia ungemkatalia coz wanaume wengine mnapenda sana mapenz ya kugandana,somtimes you may need a break to do silly things with your friends,,,so hapo kosa lake ni kukudanganya na kutokukuaga.....ambayo sio makubwa ya kuvunja uchumba,don't reckon with any advice bila kufanya upembuzi yakinifu baba

Better the devil you know than the angel you don't know

asinge-weweseka kiasi hicho baada ya kusikia jamaa alikuwa hostel kwake.
 
Ahsanteni wana JF kwa ushauri wenu, nitamwacha rasmi leo na dada yake nitamwambia hilo, na pia ninawaachia mahari yote wabaki nayo!

Na pia unatangaza rasmi upo single kuanzia leo
 
Ukiona mwanamke au mwanaume amekubali kutenda tendo la ndoa kabla ya ndoa basi huyo ni mzinifu, na hawezi kuwa mwaminifu kamwe, kama unabisha anza uchunguzi kwa watu wote waliozini kabla ya kuoa au kuoana utaona sio waaminifu. Labda mtu aamue kumrudia mungu kiukweli hapo anaweza badilika lakini hakuna mabadiliko kama mtu hana dini ya kweli, ukioa au kuolewa na mtu asiye na dini ya kivitendo hakuna uaminifu hapo. Sasa sijui wewe sinai unaleta hoja gani hapa kama mliweza kushiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa basi jua uaminifu hakuna hapo. Oa tu kama fashion lakini sio kumiliki peke yako

Kwa maana hiyo majority ya watu walio kwenye ndoa ni wazinifu, maana wengi wao walishafanya tendo la ndoa kabla ya ndoa.

Hivi ni asilimia ngapi ya watu wa kwetu TZ ambao wanaanza kufanya tendo la ndoa wakiwa ndani ya ndoa?
 
Back
Top Bottom