Mtoto aliyekataliwa na baba yake

Mtoto aliyekataliwa na baba yake

Habari zanu wana JF,

Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time she was 10 yrs na kiliacha shule kutokana na matatizo ya wazazi wake so kikawa home kinamsaidia mom kazi ndogondogo tu na kumpa mom kampani. Tulimchukulia kama mdogo wetu na tulimpenda sana. After two years my sis aliyekuwa anaishi DSM alijifungua so akamchukua kuishi nae ili amsaidie kazi. Kaka yetu mmoja by that time alikuwa anasoma alikuwa akiishi hapo kwa sister.

After two years binti akagundulika kuwa mjamzito na alipoulizwa nani mhusika alisema ni huyo kaka yangu ila yeye alikana kabisaaaaa!!!Binti wa watu akarudishwa kijijini na alijifungua mtoto wa kike akiwa na miaka 15. Mwaka juzi nilienda kijijini na nikabahatika kumuona huyo mtoto, honestly she resembles my brother kabisaaaaa!!! Nilimpigia na kumweleza kuhusu hilo but alisema kuwa yeye hahusiki na kama anafanana na yeye it is not his business. Huyo mtoto alikuwa anaishi maisha magumu sana imagine at the age of 12 hajaanza darasa la kwanza. ilimuomba mama yake nimchukue niishi nae na pia nimsaidie kwa vile yule kweli ni mtoto wa kaka yangu!

Kwa vile bro alishakataa hata nilipomwambia kuwa mtoto kafanana nae, sikumshirikisha uamuzi wangu niliouchukua wa kumlea huyo mtoto ila mom nilimshirikisha na hakuwa na tatizo na yeye toka zamani alishataka kumchukua ila bro alimkataza so ikabidi aheshimu uamuzi wake. Hadi sasa naishi nae na the girl is very inteligent, amini usiamini nilipompeleka shule walimpa mtihani na kugundua kuwa hakustahili kuanza drs la kwanza, wakampeleka la 3 now yupo la 5.

Last week mke wa huyo brother alikuja kwangu kunitembelea na kumuona yule mtoto, akaniuliza mtoto wa nani?Nikamjibu ni mtoto wa shemeji yangu ili kuua soo wasie gombana na mumewe. Sasa jana narudi toka job namkuta brother kwangu kafura vibaya sana na anadai mimi ninadharau kwa nini nimemchukua mtoto ambae sie wake na amedai kuwa mimi na yeye undugu wetu umeisha na akaondoka bila hata kuniaga.

Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!

Nawakilisha.

Awali ya yote nikupongeze kwa uamuzi mzuri ulioufanya. Wewe ni mmoja kati ya watu wachache ambao wangeona ipo haja ya kuchukua uamuzi kama huo. Huyo kaka yako asikuumize kichwa coz mimi kwa mtizamo wa haraka naona kma huyo bro wako ana MAPEPO na anahitaji msaada wa maombi ya haraka ili kumtoa katika hali aliyo nayo. ATAWEZAJE KUIKATAA DAMU YAKE? YEYE ALIVYOSHIRIKI HILO TENDO HAKUJUA KWAMBA KINACHOTOKEA NI NINI? AU ANASUBIRI MTOTO AKISHAKUWA MKUBWA NA MWENYE FUTURE NZURI NDIO AKUBALI KWANBA HUYO NI MWANAE? Ushauri: Endelea kumhudumia huyo mtoto na usiogope vitisho vya huyo bro wako. Kwa kuwa wewe una maisha yako binafsi wewe jikite zaidi kwenye masuala yanayokuhusu wewe mwenyewe MPOTEZEEEEEEEE......................Akili ikimkaa vizuri atarudi. Pole
 
Siku hizi swala kama hili linatatuka kirahisi mno kwa kutumia vipimo vya DNA. Hakuna haja ya kutumia mbinu ya kizamani ya kuangalia kufanana kwa sura peke yake. Jambo la kumkataa mtoto ni sawa na kuikataa damu yako. Hilo sio jambo la utashi wa mtu binafsi bali ni jambo linalohusu ukoo mzima. Kama mtu mmoja kwenye ukoo akiwa mpumbavu hataki kutunza watoto wake kwa sababu yoyote ile ni lazima wanaukoo wachukue jukumu. Lakini pia unaweza kumweleza kaka yako mbabe kuwa wewe ndiye uliyempa ujauzito yule binti na wala sio yeye halafu uone ataipokeaje hiyo. Je ataridhika kwa dhati ya moyo wake?

Ha ha ha, nimeipenda iyo aisee!good idea, next time namwatukia nisikie atasemaje ha ha ha
 
Ilimradi hukumweleza mkewe kwamba huyo mtoto ni wa mumewe, naamini umefanya jambo jema! Ni jambo jema si tu kwa kuwa unahisi kwamba mtoto huyo ni damu yenu, bali umefanya vema na kuonesha moyo unaopotea baina ya watanzania tulio wengi wa kuwa na huruma na watoto maskini wanaoteseka vijijini na mjini katika nchi yao wenyewe.

Hata kama ukija kugundua kwamba kweli mtoto si wa kaka yako, shikilia moyo huo huo wa kumsaidia na MUNGU atakusimamia na kumsimamia afike mbali katika maisha yake na hata asipokua kukusaidia wewe na baba yake, naye anaweza kuwasaidia watanzania wengine wenye mahitaji....

HONGERA sana na MUNGU akubariki sana, wengine tuige moyo huu mkuu wa mwenzetu na pia tunaojiita wanaume, tuache kujiingiza katika matendo yatakayosababisha kuzaliwa watoto watakaokuja kuwa tatizo katika jamii yetu kwa kukosa matunzo na huduma muhimu za kimaisha.
 
huo ubabe wa kaka yako ndo unafanya ajione yeye Mungu mtu, na vile tena anaona ndugu wanamuogopa, basi ndo kuona yeye ni kila kitu...
usijali dada msaidie huyo bint (assume hata ni Sadaka kwa Mungu), mambo ya wewe sio ndugu yake sijui na nini, ni utoto tu wamsumbua huyo kaka yako, akikua ataacha... nan alimwambia undugu unaondoshwa na maneno?kama ndo hivo watu si wangehama hata makabila.

Asante kwa ushauri
 
Ni kweli Bwana atawalinda tu hao watoto na wewe mwenyewe...Bwana" atakulinda na mabaya uingiapo na utokapo tangu sasa na hata milele"......"Bwana atakuagizia malaika wake wakulinde katika njia zako zote mguu wako usijikwae katika jiwe"

Eimen!!
 
Blaza nae ana mambo? Kwani alimuona wapi huyo mtoto mpaka aje kukutunishia msuli? Nani kamuambia wake? Au mkewe kaenda kuliungurumisha soo kuwa yule mtoto wa shemeji yenu anayekaa kwa wifi ama mmelendana!

Kama umeguswa kumlea huyo mtoto endelea kumlea tu, na ukubali kuwa huo mzigo wako till further notice....

Nadhani wife wake ndo alimwambia mana hata yeye nina hakika hakuamini nilipomwambia ni mtoto kaka ya mume wangu mana ni photocopy ya brother
 
Poa kabisa dada yangu hacha na huyo virauni , wewe mtuze huyu mtoto , na mpatie elimu , kwani jamaa anakupa hela ya kula ? Kama hakup
 
Walimweusi, achana na huyo kaka yako.Msaidie malaika huyo nawe utapata baraka.omba support kwa mama awe upande wako.

Napenda sana mtu mwenye kusimamia maamuzi yake kama yana msingi.Usitake kuyumbishwa, uliamua mwenyewe kusaidia huyo malaika,just go on.Umetumia busara sana kutowagonganisha yeye na mkewe.Endelea hivyo hivyo.Nami nitakuombea kwa Mungu akufanikishe katika hilo la kumsaidia huyo mtoto.
 
mtoto si inamlea wewe? Endelea kumlez. Achana na huyo mtia mimba na mkimbia majukumu
 
Sasa kama umemchukua mtoto sio wake yeye kinamuuma nini?
 
Habari zanu wana JF,

Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time she was 10 yrs na kiliacha shule kutokana na matatizo ya wazazi wake so kikawa home kinamsaidia mom kazi ndogondogo tu na kumpa mom kampani. Tulimchukulia kama mdogo wetu na tulimpenda sana. After two years my sis aliyekuwa anaishi DSM alijifungua so akamchukua kuishi nae ili amsaidie kazi. Kaka yetu mmoja by that time alikuwa anasoma alikuwa akiishi hapo kwa sister.

After two years binti akagundulika kuwa mjamzito na alipoulizwa nani mhusika alisema ni huyo kaka yangu ila yeye alikana kabisaaaaa!!!Binti wa watu akarudishwa kijijini na alijifungua mtoto wa kike akiwa na miaka 15. Mwaka juzi nilienda kijijini na nikabahatika kumuona huyo mtoto, honestly she resembles my brother kabisaaaaa!!! Nilimpigia na kumweleza kuhusu hilo but alisema kuwa yeye hahusiki na kama anafanana na yeye it is not his business. Huyo mtoto alikuwa anaishi maisha magumu sana imagine at the age of 12 hajaanza darasa la kwanza. ilimuomba mama yake nimchukue niishi nae na pia nimsaidie kwa vile yule kweli ni mtoto wa kaka yangu!

Kwa vile bro alishakataa hata nilipomwambia kuwa mtoto kafanana nae, sikumshirikisha uamuzi wangu niliouchukua wa kumlea huyo mtoto ila mom nilimshirikisha na hakuwa na tatizo na yeye toka zamani alishataka kumchukua ila bro alimkataza so ikabidi aheshimu uamuzi wake. Hadi sasa naishi nae na the girl is very inteligent, amini usiamini nilipompeleka shule walimpa mtihani na kugundua kuwa hakustahili kuanza drs la kwanza, wakampeleka la 3 now yupo la 5.

Last week mke wa huyo brother alikuja kwangu kunitembelea na kumuona yule mtoto, akaniuliza mtoto wa nani?Nikamjibu ni mtoto wa shemeji yangu ili kuua soo wasie gombana na mumewe. Sasa jana narudi toka job namkuta brother kwangu kafura vibaya sana na anadai mimi ninadharau kwa nini nimemchukua mtoto ambae sie wake na amedai kuwa mimi na yeye undugu wetu umeisha na akaondoka bila hata kuniaga.

Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!

Nawakilisha.

Wali mweusi,

Kwanza nakupongeza katika kumsaidia huyo binti kwa kumlea na kumpatia elimu. Suala la msingi unaloweza kufanya ni wewe kumuasili na kumfanya mtoto wako. Huyo kaka yako hipo siku atakuja na kumtaka huyo mtoto na hasa akishaona kitoto kinapasua anga za kielimu vizuri. Natumaini huyo mtoto hujamlisha sumu kuhusu huyo 'baba yake'.

wasalaam,

Shadow.
 
Huyo brother wako atakuja juta siku moja kwa kusaliti kiumbe asiye na hatia, na mambo ya mungu ni mengi anaweza kuja kuzaa watoto na huyo mkewe na watoto wote hao wakaja kuwa wabwia unga na wezi na huyo aliyetengwa leo akawa ndiye pekee atakaeng'arisha jina lake. Hii ni dunia na haitabiriki
 
mimi niko radhi kuonekana mbaya kuliko kufanya uzembe huo. Bora lawama kuliko fedheha.

Mkuu, unanifanya nifikirie mara mbili. Ila hayakwepeki haya. Sema njia nzuri ni misaada kuwafuata wao, na siyo wao kuifuata misaada.
Kwa mila zetu hizi, watakutenga aisee.

BTW, hongera Walimweusi. Sisi jamaa mmoja alimzalisha binti kijijini akaja chuo. Alipofika huku akaona yule mshamba akampiga chini, pamoja na watoto wake watatu. Alijitahidi kuanzisha relation ilishindikana mpaka kaenda kumchukua mkewe na watoto. Sasa wanaishi kwa furaha sana!
 
Uamuzi uliouchukua from the 1st place ni wa busara usiruhusu ubabe wa huyo kaka yako ukuyumbishe...mwache asuse ni mtu mzima huyo by then atakuja kukushukuru punde
 
Mkuu, unanifanya nifikirie mara mbili. Ila hayakwepeki haya. Sema njia nzuri ni misaada kuwafuata wao, na siyo wao kuifuata misaada.
Kwa mila zetu hizi, watakutenga aisee.

Mkuu unajua haya mazoea ndo yanatuponza waafrika... Ni bora kuwa na msimamo katika hilo.. wale wanaohamia hapana aiseeee
 
Ndugu yangu mlee huyo mtoto ni wako, kama Baba yake kamkataa MUNGU atakulipia tu na fadhila zitakapoanza kumiminika kwako huyo msaliti asije shangaa
Mtoto akikua mpa ukweli
 
hongera zako,huyo ndugu yako atakuja kujuta.wanaume wanaokataa mimba,huwa wanaumbuka,maana mara nyingi watoto wanaozaliwa hutoka copy ya hao wababa.
 
Habari zanu wana JF,

Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time she was 10 yrs na kiliacha shule kutokana na matatizo ya wazazi wake so kikawa home kinamsaidia mom kazi ndogondogo tu na kumpa mom kampani. Tulimchukulia kama mdogo wetu na tulimpenda sana. After two years my sis aliyekuwa anaishi DSM alijifungua so akamchukua kuishi nae ili amsaidie kazi. Kaka yetu mmoja by that time alikuwa anasoma alikuwa akiishi hapo kwa sister.

After two years binti akagundulika kuwa mjamzito na alipoulizwa nani mhusika alisema ni huyo kaka yangu ila yeye alikana kabisaaaaa!!!Binti wa watu akarudishwa kijijini na alijifungua mtoto wa kike akiwa na miaka 15. Mwaka juzi nilienda kijijini na nikabahatika kumuona huyo mtoto, honestly she resembles my brother kabisaaaaa!!! Nilimpigia na kumweleza kuhusu hilo but alisema kuwa yeye hahusiki na kama anafanana na yeye it is not his business. Huyo mtoto alikuwa anaishi maisha magumu sana imagine at the age of 12 hajaanza darasa la kwanza. ilimuomba mama yake nimchukue niishi nae na pia nimsaidie kwa vile yule kweli ni mtoto wa kaka yangu!

Kwa vile bro alishakataa hata nilipomwambia kuwa mtoto kafanana nae, sikumshirikisha uamuzi wangu niliouchukua wa kumlea huyo mtoto ila mom nilimshirikisha na hakuwa na tatizo na yeye toka zamani alishataka kumchukua ila bro alimkataza so ikabidi aheshimu uamuzi wake. Hadi sasa naishi nae na the girl is very inteligent, amini usiamini nilipompeleka shule walimpa mtihani na kugundua kuwa hakustahili kuanza drs la kwanza, wakampeleka la 3 now yupo la 5.

Last week mke wa huyo brother alikuja kwangu kunitembelea na kumuona yule mtoto, akaniuliza mtoto wa nani?Nikamjibu ni mtoto wa shemeji yangu ili kuua soo wasie gombana na mumewe. Sasa jana narudi toka job namkuta brother kwangu kafura vibaya sana na anadai mimi ninadharau kwa nini nimemchukua mtoto ambae sie wake na amedai kuwa mimi na yeye undugu wetu umeisha na akaondoka bila hata kuniaga.

Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!

Nawakilisha.

usiumize kichwa. Mwanadamu ni nani hata akunyime amani,uhuru n.k? Yupo mwenyezi mungu ambaye ndiyo kiongozi na mfariji mwema. Usipigishane kelele na yeye fata roho yako inavyokuelekeza kwa msaada wa mungu. Hivyo ni vizuizi vya kimwili. Kuwa na amani ndugu yangu
 
Walimweusi,usikate tamaa Mungu atakulipia kwa ukifanyacho!Jiwe lililodharauliwa na wajenzi ndiyo limekuwa jiwe kuu la pembeni
 
Back
Top Bottom