Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

Samthing mast bi rong sam wea ini ywa maindi wewe
 
Ngoja nicheke kama Lara 1.HAHAAAAAAAAA.Haloooooooooo!
Habari zikufikie ndugu yangu Apolonary.
Malipo ni hapahapa duniani
Uliwagegeda mi dada 4 halafu ukawatupilia wote mbali
Huyo ni wa kwanza kukutupa na wewe.Subiri wengine watatu utakuwa sasa umefikia wakati wa kuoa.

Haloooooooooooooooooo!Chezea mtoto wa mwenzio weyeeeee.
 
ngoja hawa wanaume wa jf wanaong'ang'ani wanawake tuko wengi waone topic yako unataka kujibanza kwa nguvu kwa mwanamke mmoja,
 
Hebu tufafanulie vizuri!...wewe unataka kuoa kwa nguvu au ùnataka KUBAKA..?!
 
mfanyie timing siku akiwa anatembea usiku mwenyewe unamteka na kumweka began mpaka kwako,mpige kamba alaf mfungie rum na kitambaa mdomon halaf kila siku uwe unambembeleza mpk akubali
 
Hii sifa ya kupiga begani ilikuwa sana kwa wachaga. Kama mtu umesoma shule za moshi miaka ya 70s na 80s ndiyo ilikuwa mtindo. Ila nashangaa wanaishi tu maana ilikuwa mwiko kurudi kwenu ukishalala kwa mwanaume. Sasa na wewe 2010s unataka kubeba kwa nguvu!!! Ukitaka kwa nguvu ataondoka kwa nguvu!! Be ware! NINGEWEZA KUTUMIA USTAARBU, LAKINI KUMBUKA MWANZO TULIKUWA TUMEKUBALIANA KUWA TUWE WACHUMBA! NA HATIMAYE NDOA! LAKIN KAGEUKA GAFLA K2 KILICHONIFANYA NIFIKIE UAMUZ HUU!
 
huyo mwanamke hakutaki usilazimishe utaumia,kama vipi chapa mwendo ,jipange upya
 
Back
Top Bottom