Nateseka jamani na mapenzi!

Nateseka jamani na mapenzi!

nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?
Wale jamaa wa "Ze Komedi" wanasema kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport! Kamwe meli haiwezi kutua airport. Unaweza kutumia njia nyingine kama walivyochangia baadhi ya watu kama kutafuta weak point zake na kucapitalize kwenye hizo, au kujiweka karibu naye, kufake tabia, mwenendo nk. Lakini ukweli ni kuwa, hata kama utampata kwa njia hizo "fake" bado mwenyewe hauwezi kuishi maisha ya kuigiza kwa miaka yote, ipo siku utarudia tabia zako na kujikuta unapigwa chini. Hapo utakuwa umepoteza muda wako na rasilimali zako ulizokuwa umeinvest sehemu ambayo haina return.
Tafakari!
 
dada ukuchokoza penzi la mwanamme, gharama yake hutakaa uilipe! Utaishia kusema hakupi attentiuon na kujaza debe la machozi! mume wako anavutwaga kwa maombi!acha stly za kipepo hizo!
 
Penda unapopendwa ukipenda usipopendwa ndiyo kunakuwa na mateso kama hayo, akila mkichwa SEPA na mapema vinginevyo itakula kwako.
mateja ukiwasikiliza tu utawajua, lol!
kila la heri teja
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mpende akupendaye, asiyekupenda achana naye.Tena mshukuru Mungu wako huyo amekuonyesha mapemaaa kwamba hakuhitaji.
Siku zote, usikubaliane na moyo,ishirikishe akili yako itafakari mara mbili.
 
panga muda wa kumuona angalau ukaji"avail" yourself, hii ni strategy nzuri sana nimeisoma somewhere, ukienda usijirembe wala nini, we tengeneza mazowea ya kwenda tu japo kuspend nae dakika tano kwa siku, ukimuona wiki nne tano ya sita kata usiende kabisa kisha tutamjua kama yeye ni mwanaume au nini, usimpigie, we nenda!!
 
Kisha ukienda wala usianze kumuimbia eti oooh, nakupenda oooh nini!!! a-a we mwambie tu nimekuja kukuona, mtapiga stori mbili tatu pale after your 5 minutes strategy kwisha unaondoka.
 
Ts about time uache kumtxt na kumcall na avoid any sort of contacts with him. Ni ngumu, but u can't force someone to like or even love you....
nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?
 
Jipange na mtafute umwambie hisia zako lakini kingine asipoonyesha ushirikiano achana nae maana wanaume si kama uwajuavyo kwa mazingira mengine. Kinachokuumiza hapo ni ile dhana ya WANAUME NI WADHAIFU mbele ya kinadada hivyo kwa kuwa haeleweki unaona kama kakosea kumbe kuna mazingira wanaume nao si kila mwanamke akijilengesha anaeleweka. Heri ya huyo alieoonyesha msimamo kuliko wale ambao anaonyesha ushirikiano kisha anakumega anasepa zake alafu unakuja unaanza ku-generalize wanaume si watu kumbe ulijiingiza mwenyewe kwenye kumi na nane zake. CHANGE APPROACH USIJIONYESHE UMEKUFA SANA isipo work ACHANA NAE na usilazimishe maisha kwa kuwa rafiki yako flani ana mtu wake basi na wewe uwe na mtu wako (ipo siku na wewe utapata), sawa bi jack 1
 
Last edited by a moderator:
ivi serikali yangoja nini kuanzisha mtaala wa mapenzi mashuleni.... fujo zinazidi hapa MMU... na mpaka kwenye ndoa watu wanaoana leo wnaachana kesho..mara wanauana.. aaargghh ..too much..

mambo kama haya yanayoulizwa hapa ilibidi yajibiwe ktk mitaala...

n'dai like mkuu
 
Tatizo letu tunaegemea upande mmoja tu. We dada ulishamwuliza tatizo ni nini? Au umekurupuka kuja jf kutafuta ushauri? Mtu mwingine utakuta kila muda anapiga simu na anayoongea ni yale yale siku zote kwa nini usiwepo muda ambao mmekubaliana kuzungumza? Kuna watu wengine wana aleji na simu ukilitambua hilo hutohangaika sana.
 
Kwani yeye anajua kama unampenda?
nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?
 
lara 1 umenichekesha sana aisee!
'
Thank you for making ma day!
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndipo ujinga wenu unapobakia wazi, angalia utafanywa mwamvuli wakati wa mvua ikiisha unafichwa ndani hadi masika nyingne mwakani. uelekeze moyo wako mahali sahihi, mbona wanaume weng? Wew vp jack1? usilazimishe usipopendwa!
 
Acha kuhangaika na wanaume kama hao ambao hawajali, Mi kwa ushauri bora umpende Willy malecela kuliko huyo mtu ambaye hakujali.
Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom