He! 35+15 = 50, Huyu si atazaa wajukuu?Inaelekea hijajipanga wewe. Yan unataka kuoa huna hata mchimba? Miaka yote ulikua unafanya nini? Ukiambiwa uoe msukuma inamaana ukipata muhaya anaekupenda utampiga chini? Nakushauri uongeze miaka mingine 15 ya kuendelea kujipanga vema.
Apatae mke apata kitu chema na kibari machoni mwa Bwana.ckiliza mkuu kuanzia sasa kila unapotaka kulala na uamkapo asubuhi sali kwa dini yako mbali na mengine akupatie mke mwema,kwani ni mpango wake iwe hivyo.pamoja na hayo USITANGULIZE MAPENZI KABLA YA TARATIBU ZA MAISHA ambazo kila mtu ana za kwake.nitakupatia mwongozo A-isimame badala ya ability-thinkink capacity-acceptence kwao na kwenu.B-body structure,tambua mwanamke hubadirika kiumbo kutokana namajukumu yao ikiwamo uzazi.C-character-kama wewe ni mkimya alafu ukapata mcheshi utaboreka na kinyume chake pia.D-dizizi.kwa msisitizo,kunamagonjwa ya kurithi kama sekoseli,hali ya ualibino na mengine unayoyafahamu.E-education background.c kweli una jiwe la chuo chichote ukaoe la tano au la saba.au wewe ni form four mkeo ana masters hapo lazima uwe mwelewa kwelikweli la sivyo kuna kuburuzana na Mungu apite kati.F-family background.wachiyo,wachawi,wanakaa kwenye ndoa,utakuta mama hajaolewa mama mdogo nje,sgangazi mtu walewale,unafikiri mkitifuana watamshauri nini-ACHANA NAE ASIKUTISHE CC MBONA TUNAISHI.na mwisho G-inasimama kwa GOD huyu ndo kila kitu ukimwomba kwa dhati atakupatia,stoo yake ina watu wengi ispokuwa cc ndo tunakosea kumpangia nani awe mkeo au mumeo.TAMBUA KUWA C KILA MWANAUME ANAFAA KUWA MUME WA MTU NA C KILA MWANAMKE ANAFAA KUWA MKE WA MTU.akili kumkichwa.ukitanguliza mapenzi cku ukipata kibovu huwezi ku-let it go coz unampenda na ndo utakuwa msalaba wako.ukikosea kuoa tu umekosea maisha kwa sehemu kubwa.IMEANDIKWA WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.USIOE KWA WASIFU WA NJE OA KWA MWONGIZO WA MUNGU KWA WASIFU WA NDANI.fanya utafiti wengi wa walioolewa ni wakaida tu.mengine tumia akili.
angetajiwa ruvuma unafkir angekuja kuuliza huku,angetuwekea news alert tu!
NIMEOA MWANAMKE WA KINGONI,NAJUTA KUCHELEWA KUOA MIAKA YOTE!
Ingekuwa vema kama ungenishauri nisubiri kwa gani na wakati huo niwe nafanyia utafiti wangu wapi ningekuelewa vizuri zaidi mkuu.Nakushauri usubiri tu usikimbile kuoa kwasababu yaumri, hongera kwa kuishi kapela kwa muda wote huo. Ndoa ni stress tu na wanawake wote wanafanana matatizo yao ndugu yangu.
Acha kunidanganya wewe binti nikaja kujuta bure. Huko si ndiko nasikia ugomvi ukianza ndani, baba anawahi mkuki na mama anawahi panga!!Mkuu Power G njoo uoe kwetu. Sisi wakurya huwa tunawabeba wanaume mgongoni na kuwakogesha kama watoto wachanga. Nadhani hizo huduma zitakufanya utulie tuli na usiwe na mawazo ya kutoka nje.
Oa unaempenda kila kabila lina kasoro zake. Lkn ukioa unaempenda naamini utaishi nae vizuri . Kuhusu kutulia inategemea wewe mwenyewe ndoa utaichukuliaje. Hauwezi kutulia kisa umeoa bali waweza kutulia ukiamua na kama utamthamini huyo utakaeoa. Halafu angalia usioe kisa umri umeenda bali oa kwasababu unampenda ulie nae. Kumbuka mke mwema mtu hupewa na Bwana.
Kwani mkuu unaoa mkoa ama mtu.... ???
shosti, na mimi nakunywa kahawa.....Swali zuri sana best. Unakunywa kinywaji gani nikuletee?
any...... bora tu iwe na caffeine......lol!Ha ha haaa! We sema tu unataka kahawa ya aina gani - cappuccino, black & white, Americano au ile ya kwa bibi na babu yenye harufu nzuri asilia?
He! 35+15 = 50, Huyu si atazaa wajukuu?