Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
nimefanikiwa nini!!!!hatimaye umefanikiwa. Dalali we m bayaaaaa
nimefanikiwa nini!!!!hatimaye umefanikiwa. Dalali we m bayaaaaa
nimefanikiwa nini!!!!
hahahha ndio maana wengine hapa, miezi mitatu ya mahusiano kufika huwa ni issue isee, yaani nikae na mtu hata sielewi tunaelekea wapi miezi miwili inaisha kabisa, hapana kabisa, huwa naona ni bora kuwa peke yangu tu,
Kama umeshajua ni mme wa mtu, bado unang'ang'ana naye wa nn? Hili nalo linahitaji ushauri wa wana jamiiforums? Achana na mme wa mwinziyo, tafuta wako.... huyo alikutapeli tu aridhishe tamaa zake za mwili!Habar zenu wanaJF polen na majukumu ya kikaz.....mm ni bint ambae nilikuwa na mahusiano yakimapenz na kaka mmoja ambyi yalidumu kwa miaka 3 ss lkn ktk kipnd cha mahusiano siku moja ilitokea kwamba mwanaume anataka tuonane lkn gesti jambo ambalo lilinishangaza sana na wala c kawaida kutokea kwa maana walikuwa wamengashiwa nyumba maeneo ya tegeta na mwajiri wke.Nikahoj hlo swala nakujibiwa kuwa ana wagen toka kwao iringa ambae ni mtu na mkewe ndo amewaachia chumba,nilielewa somo nakuendelea na mambo yetu.Alinirudisha mpk nyumban baada yakumaliza kaz yetu kwa siku hyo.....nilipofika nyumban baada yakupumzika nikampgia cm lkn cha ajabu ikapokelewa na mwanamke nakuanza kuniporomoshea matuc,nilishikwa na butwaa nicjue nn chakufanya lkn nikaona nitulie maana nilishikwa na jazba sana kilichoniuma ni kutukanwa kupitia cm ya niliyejua ni mtu wngu.....,nikanyamaza lkn ckusita kuuliza c unajua kupenda tena,akanipa majibu lkn akil ikawa kichwan mwangu.Baada ys muda nikaja kuckia kuwa huyo jamaa ana mke wa ndoa kbs huko iringa kwao na nilipojaribu kumuuliza akakataa katukatu.Mapnz yngu kwake yalipungua lkn kilichokuwa kinanifanya kuendelea nae nikumjua hasa aliyenutukana....tukiwa wote huyo mwanamke alipga cm kwa huyo jamaa nkaipokea nakuanza kumwambia kuwa huyo ni mtu wngu mbele ya mwanaume wke lkn ikazua mtafaruku mkubwa sana,cha ajabu mwanaume nikamkuta na pete ya ndoa nlipomuuliza akasema inamsaidia asitongozwe na watu kwa kwel nilizid kupata hasira nikamvua ile pete na ucku huo nikampgia huyo mwanamke nakumuomba msamaha maana nmekuwa na mtu wke bila kujua.Leo mchana mwanaume ananipgia nakuendelea kukataa naomba mnisaidie mawazo kwa kwel nmekwazika sana.Na pete ya ndoa tena Gold nnayo hapa na ctak hata kumuona.
nilijua tu heheheheheeh yule humwezi mambo yake makubwa hule nilijua halast pale ndio sababu nkajiegesha pembeni ,tunamkopesha na lara 1 tuweze malizia kuandika gazeti la historia ya yul ekijana kwamba magwiji wamemshindwa!!!!Jana nlikupa copy. Hukuona?
kwani kiwango chake kimeshuka hadi umtoe kwa mkopo?nilijua tu heheheheheeh yule humwezi mambo yake makubwa hule nilijua halast pale ndio sababu nkajiegesha pembeni ,tunamkopesha na lara 1 tuweze malizia kuandika gazeti la historia ya yul ekijana kwamba magwiji wamemshindwa!!!! CC: KakaKiiza
sio mkopo tu sema lower price !!! Kiwango na ufanisi wa kazi ila maneno mingi sanakwani kiwango chake kimeshuka hadi umtoe kwa mkopo?
Watu wengine bwana si angekwambia mie nimeoa ila naomba Tunda ..am kidding pole sana ila mpe pete yake maana hapo tayari nyumbani kwake ana kasheshe na wife..[/QUO
Alafu mpk naichukua pete ana apa kbs hana mke...mara hyo p.ete inamsaidia asitongozwe mara inamsaidia kazin yan fulu uongo.Kwakwel ameniudh sana.
muibie kwanza umpatie hasara ndo usepe. au msingizie kesi afungwe jela kidogo nae muda wake upotee kama alivokupotezeaIliniwia ngumu kujua maana mkewe yupo iringa.........huyo kaka yupo hapa dar.Sikuwah kuhis ana mwanamke ht kdogo.Mpk yalipotokea hayo.
muibie kwanza umpatie hasara ndo usepe. au msingizie kesi afungwe jela kidogo nae muda wake upotee kama alivokupotezea