Recent content by Small Master

  1. S

    Nape hana kumbukumbu nzuri kwa kile anachosema

    Wanaopinga utawala wa majimbo ni watawala walafi ambao kwao wanakotoka hakuna rasilimali za kuiba hivyo wanalilia utawala wa jumla ili waibe madini, mazao yauzwe kwenye vyama vya msingi ili watumie bodi za mazao kuuza nje wale dola(USD) na vyama vya msingi vibaki vinadaiwa na mabenki.
  2. S

    Kwa kauli ya nassari inabidi chadema wasitishe kwanza sera yao ya majimbo otherwise itatucost.

    Ikiwa kujitenga kwa kaskazini ni kosa la jinai Je? ni kubwa kuliko wezi wa mabilioni ya watanzania walioiba mawaziri na hadi leo wanadunda mitaani, huyu aliyesema kujitenga juzi tayari amekamatwa na kuhojiwa. Nadhani Polisi wa Tanzania wanashabikia siasa zaidi kuliko kulinda usalama wa wananchi...
  3. S

    Campain Vua Gamba Vaa Gwanda imeanza

    Kuna Gamba lingine limevuliwa jana wilayani mbazi- Mkuu wa Wilaya
  4. S

    Zitto asema hoja yao iko pale pale

    Nadhani MKADABWI ni mmoja wa wabeba mikoba ya mafisadi, maana kiapo chake eti CCM hawawezi kutoka madarakani inashangaza kwelikweli, hajui dunia imebadilika? ikiwa Rais anaelekezwa na Bunge awafukuze mawaziri naye anatekeleza sasa kifuatacho yeye atakaposhindwa kazi wananchi watamfuata Ikulu na...
  5. S

    Sabodo unatakiwa kumuiga Dr Mengi ili upewe sifa sahihi !!!!

    Mbona alipokuwa anatoa CCM hamkupiga kelele? kwani jamii haikuwepo?, mbona hujamwambia Manji naye atoe kwenye jamii?
  6. S

    JK hajui wajibu wa mawaziri ndo maana anasema fitna zimewaponza

    Moto bado ni mkali JK akiudharau utamuakia yeye maana kuna ushahidi wa kutosha kuwa mawaziri waliotuhumiwa na hata ambao hajatuhumiwa ni wezi kweli kweli, tumeona nyumba walizouziwa za Hoysterbay na masaki, wameishajenga majumba ya kutisha,wengine ndo akina Maige wananunua majumba na...
  7. S

    Tutarusha mkutano live toka Arusha

    Ni kweli siyo swala la kudandia tu, Chadema wajiandae kwa 2015 maana Lowasa ana redio na Tv huko Arusha pia Dar ana New Habari corporation aliyouziwa na Salva Rweyemamu(mkurugenzi wa habari Ikulu), CDM bila TV, uchaguzi wa 2015 wananchi wachache waliobaki na magamba ya kijani watatapeliwa tena...
  8. S

    Habari njema kwa mkoa wa Njombe na wana CCM wote !!!!!

    Kumbe yeye ndo kipofu maana sehemu hii ni ya watanzania wote kwa mstakabali wa nchi nzima, huyu anadhani maendeleo ya nchi hupimwa kwa mkoa mmoja tu? Je anasemaje kuhusu maliasili, madini je?, mazao mengine kama kahawa maana mkuu wa wilaya ya mbozi amejiuzuru kutokana na wananchi kuibiwa kahawa...
  9. S

    Kauli hii ya JK kwa mawaziri wezi sijaielewa?

    Father kauli ya JK iko wazi, wenye vyeo ni wanamtandao, wapwa zake, maswahiba na mabibi zake hivyo aliogopa kuondolewa Ikulu akawaengua na hii ni kwa muda tu, kwa udhaifu wake hapo ndo kamaliza maana watendaji wa mashirika na wakurugenzi wa mawizara ndo wanaomtajirisha Rizwan, hana zaidi JK na...
  10. S

    Dk. Mwakyembe aitahadharisha CCM

    Kuna wadau wa mtandao huu wanadai unamilikiwa na CHADEMA kumbe wanashindwa kuelewa kuwa watanzania wa leo sio wa mwaka 47 - Karumekenge aliwahi kupost akidai huu ni mtandao wa uchochezi akatoa mifano ya Rwanda na Burundi akasahau kuwa wale walichapana hatimaye wakaheshimiana ndo maana leo wako...
  11. S

    Mzee Warioba kuongoza tume ya katiba!

    Prof Warioba ni mwajiriwa wa Rais hivyo lazima atekeleze maagizo ya mwajiri wake, kuna maoni ya kweli hapo? hana tofauti na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi au msajili wa vyama. nasafi hizi zilitakiwa kufanyiwa usairi mtu anaingia kwa competence sio veting
  12. S

    Picha Ya Mh. Lowassa: "I am Fit For Fight"

    Nadhani swala la stroke sio issue, muhimu ni kama kweli kweli anataka urais 2015!!! wana JF tunatakiwa kuwaelinisha watanzania wenzetu wasidhubutu kumuunga mkono maana tutatafunwa hadi mifupa, tukisema wanadai ni ubaguzi lakini je ni haki bunge letu kujaa wageni wenye uraia wa kununua? na je...
Back
Top Bottom