Zitto asema hoja yao iko pale pale

maghembe. chiza, mwannri,, mkuchika wote niwatuhumiwa!!!anyway unajua jk ameshazoea kutuona sote ni wajinga au watoto! slaa alituonya kumchagua ni janga hatukusikia kwani utawala wake umejaa skendo tuu hakuna tija wala maendeleo

Ukweli mtupu usiofichika hata mjinga anaweza kuliona hili
 
Waziri mkuu awajibishwe kwa kushindwa kutekeleza maamuzi ya bunge. Je ni lipi alitekeleza kuanzia Richmond mpaka leo.
Jk alichofanya ni kusuka vizuri ziadi baraza lake. Wataalamu wa fasihi wanaweza kutujuza nini maana yake na hasa kwa kuangalia utawala /uongozi huu wa sasa.

Lakini saa zingine najiuliza kama kuna jema lolote litakalofanywa na serikali hii. Na jijibu mwenyewe HAPANA kwa sababu....

Je mti mbovu umeisha zaa matunda mazuri?
 
Nyambafu huyu alikuwa anatusumbua kumsubiri uwanja wa ndege Mwanza kisa eti yeye ni Waziri

images
vipik2,
Jumatatu familia yake ijiandae kumpokea pale Buzuruga akitokea Dar akiwa ndani ya ZUBERI Bus Service

Last edited by a moderator:
Hivi Wana JF,
Kwa yaliyotekea kwa mawaziri wetu,lugha sahihi ya kutumiwa ni kuwa walifukuzwa uwaziri au wamejiuzulu?
Manake waligoma kujiuzulu mpaka JK alipotangaza wapya.Sasa tusija kesho kusikia mawaziri waliojiuzulu!

Kwa lowassa anaitwaje na ccm? Wanamuita waziri mkuu mstaafu!
 
zitto nae ni fisadi tuh
atuambie hiii brand new range rover sport anayotamba nayo huku tabata kaipataje pataje hali ya kua yeye ni mbunge tuh?
Familia yake maskin haina hata historia ya kumilimiki bajaji,leo kwa kazi ya kuwawakilisha wananchi wa kigoma kusini tuh hana biashara hana historia ya pesa kaipata pata vip luxury n expensive car kama hili?
Tanzanians we r smarter than that
tutairekebisha ccm ibadilike,waingie watu safi wachafu waondoke kuliko kuwapa watu wa siasa za maji machafu nchii hii waiharibu,watu wa ukanda,watu wa ukabila,watu wa udini
katu kamwe hatuwez thubutu..!

nakushauli fanya uchunguzi kwanza kabla ujamtuhumu mtu..usikulupuke kuandika vitu usivyovijia,, mjinga wewe
 
Kwenye sherehe za juzi tu za may day, kawaeleza wafanyakazi na watz kuwa kafurahishwa na kilichojiri bungeni na wote walioguswa na ripoti za bunge watawajibishwa. kilichofuata wengine wao kawahamisha wizara (Mkuchika, mwanri, malima, nyarandu nk). labda ndio kuwawajibisha kwa jk sytle of uongozi!
 
Nadhani MKADABWI ni mmoja wa wabeba mikoba ya mafisadi, maana kiapo chake eti CCM hawawezi kutoka madarakani inashangaza kwelikweli, hajui dunia imebadilika? ikiwa Rais anaelekezwa na Bunge awafukuze mawaziri naye anatekeleza sasa kifuatacho yeye atakaposhindwa kazi wananchi watamfuata Ikulu na kumtoa kama tulivyoona nchi za Barkans, majeshi anayojivunia huwa yanabadilika, unadhani wanajeshi wadogo wanafurahi kumuona Gen. Shimbo (mnadhimu mkuu wa JWTZ) akimiliki mabilioni ya pesa wakati wao wanishi kwenye mahanga ya mabati?
 
zitto nae ni fisadi tuh
atuambie hiii brand new range rover sport anayotamba nayo huku tabata kaipataje pataje hali ya kua yeye ni mbunge tuh?
Familia yake maskin haina hata historia ya kumilimiki bajaji,leo kwa kazi ya kuwawakilisha wananchi wa kigoma kusini tuh hana biashara hana historia ya pesa kaipata pata vip luxury n expensive car kama hili?
Tanzanians we r smarter than that
tutairekebisha ccm ibadilike,waingie watu safi wachafu waondoke kuliko kuwapa watu wa siasa za maji machafu nchii hii waiharibu,watu wa ukanda,watu wa ukabila,watu wa udini
katu kamwe hatuwez thubutu..!

  1. Kama wewe ni mwanamke na hujaolewa basi utazeeka peke yako ukiwa mchawi mkubwa!
  2. Kama wewe ni mwanamke na umeolewa basi mume wako atakuwa na nyumba ndogo kuepuka kero!
  3. Kama wewe ni mwanaume na hujaoa basi utakuwa na roho ya kichawi, jambazi na mwenye sura ya haya kama mwanamke anayetongozwa!
  4. Kama wewe ni mwanaume na umeoa basi utakuwa unahesabu finyango za nyama jikoni na mkeo atakuwa mwenye sura ya huzuni na kukata tamaa!
 
Nakubaliana na hoja ya Zitto kwa asilimia mia moja. Swala hapa ni serikali na mfumo. Inatakiwa serikali iwajibike na si kama Jk alivyofanya. Unajua Waziri mkuu maana yake serikali. waziri Mkuu akiachia maana yake serikali imeanguka, kama sikosei nafikiri hii ndo maana yake. Inamaana Kikwete kuchukua hatua mpaka kwanza ashinikizwe? Ni Raisi wa aina gani huyu? Zitto tuko nyuma yako Mheshimiwa simamia hoja yako kiukamilifu ili hii danganyatoto alotufanyia JK izikwe mbali. Huwezi kumtoa waziri kamili afu ukamwacha naibu wake. This is innocence.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alisema mabadiliko hayo ya baraza la mawaziri hayatoi uhalali wa wao kutoa hoja yao ya kutaka waziri mkuu awajibike, bali uamuzi wa pamoja wa wabunge waliotia saini kutaka kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ndiyo utakaofuatwa.

Alisema kutokana na mabadiliko hayo Bunge limekuwa imara na limeonyesha dhamira ya kweli ya kuisimamia serikali kwa ajili ya maslahi ya wananchi na kwamba sasa taarifa ya CAG itakuwa inathaminiwa kwa kiwango kikubwa.

"Ile dharau inayoonyeshwa na mawaziri katika ripoti mbali mbali juu ya wizara zao sasa tunaamini haitakuwepo na wataheshimu maamuzi ya kamati mbali mbali pamoja na taarifa ya CAG," alisema Zitto.

Aliongeza kuwa hatua hiyo ni kuelekea kujenga Bunge imara la kuweza kuwawajibisha watendaji wanaokiuka maadili na kushindwa kulinda mali ya umma.

Filikunjombe aunga mkono

Naye Mbunge wa Ludewa, Deo Fillikunjombe, ambaye katika Bunge lililopita alikuwa miongoni mwa vinara waliotaka mawaziri wawajibishwe kwa maslahi ya taifa alisema hatua hiyo ni nuru njema kwa Watanzania.

Alirejea kauli yake kuwa maamuzi hayo ya kubadilishwa mawaziri ni kutokana na nguvu ya Bunge na kwamba wao walisimamia maslahi ya wananchi.

Alisema ilikuwa ni kawaida kwa serikali kutofanyia kazi maazimio mbalimbali yanayotolewa bungeni na kwamba huo ni mwanzo wa kuhakikisha serikali inatambua kuwa Bunge lipo.

CHANZO: Tanzania Daima
 
mimi huwa nawashangaa sana hawa viongozi, wewe unawakilisha taifa maskini halafu unatembelea migari ya pesa nyingi ya nini!!! mh sisi waafica sijui kwa nini
 
zitto nae ni fisadi tuh
atuambie hiii brand new range rover sport anayotamba nayo huku tabata kaipataje pataje hali ya kua yeye ni mbunge tuh?
Familia yake maskin haina hata historia ya kumilimiki bajaji,leo kwa kazi ya kuwawakilisha wananchi wa kigoma kusini tuh hana biashara hana historia ya pesa kaipata pata vip luxury n expensive car kama hili?
Tanzanians we r smarter than that
tutairekebisha ccm ibadilike,waingie watu safi wachafu waondoke kuliko kuwapa watu wa siasa za maji machafu nchii hii waiharibu,watu wa ukanda,watu wa ukabila,watu wa udini
katu kamwe hatuwez thubutu..!
Mkuu kumbe kumiliki range rover sport ni ufisadi. Ngoja nianze kuhesabu mafisadi mjini.
 
Hapo unamshambulia moja kwa moja kuhusu mambo yake binafsi,hizi range rover nyingi unazoziona ni used na bei yake sio ya kutisha kiivyo
 
nakushauli fanya uchunguzi kwanza kabla ujamtuhumu mtu..usikulupuke kuandika vitu usivyovijia,, mjinga wewe
Ukiona mtu hata kuandika kiswahili ni issue ujue hata akili yake upeo wa kufikiria ni mgogoro! ww unakijua unachokitetea?umefanya uchunguzi ndo ukaleta majibu hapa! ww ndo mjinga
 
Mkuu kumbe kumiliki range rover sport ni ufisadi. Ngoja nianze kuhesabu mafisadi mjini.
Coz ni issue ya Zito ndo mapovu yatawatoka kumtetea! tuangalie mapato yake ni shs na kama anaweza nunua hiyo sport! or ni mkopo! Mengi kumiliki sport si issue as tunaona anachofanya hategemei marupurupu na mshahara wa kodi yetu.I am Zito fan ila si kila kimuhusucho ni kumtetea tuu.
 
Hivi Wana JF,
Kwa yaliyotekea kwa mawaziri wetu,lugha sahihi ya kutumiwa ni kuwa walifukuzwa uwaziri au wamejiuzulu?
Manake waligoma kujiuzulu mpaka JK alipotangaza wapya.Sasa tusija kesho kusikia mawaziri waliojiuzulu!

Kwenye RED hata mimi sikubaliani hata kidogo..... Hawa ni mawaziri watambulike kwa jina la "MAWAZIRI WEZI WALIOFUKUZWA!......STOP!...
 
Kuna mpumbavu mmoja anaitwa Kigwangwalla alikataa kusaini fomu ya Zitto akidhani atachaguliwa kuwa Waziri wa afya, mpumbavu kabisa huyu.

J.K ameogopa HK kuchanganya biashara zake kwenye serikali yake

akaamua kumziba mdomo J.Makamba na Prof.Mwandosya
 
Back
Top Bottom