Recent content by Slaker

  1. S

    JamiiForums Tanzania Akisoma HGL anaweza soma Bachelor ya IT?

    Aanziee certificate ya IT tu.... Haina haja ya kwenda huko form five
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makosa tunayofanya wasailiwa kipindi cha usaili written or oral interview utumishi

    Hii ni kubwa sana mkuu. Safi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Wakati naomba AVN,nimepata hii changamoto, natakiwa kufanyaje wakuu?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Award Verification Number (AVN)

    Wakati naomba AVN, nimepata changamoto hii, nifanyaje jaman???
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Waziri Mpya wa Fedha na Mipango?

    Prof Assad hawezi kukubali hizo nafasi za kisiasa hizo, Hatoweza kusema uongo kwa kufurahisha mtu. Trust me.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi,tunakuomba uje utembelee ofisi za ardhi -wilaya ya Mvomero.

    Habar wana jamvi, sijui kama nipo kwenye jamv sahihi au laaah. Mimi naomba kuuliza taratbu ukishatkipia kiwanja pesa zote zilizotakiwa hadi kuonyeshwa kiwanja chako inachukua muda gan? Yapata miez nane sasa tangu nilipie kiwanja, ardhi wilaya ya mvomero hadi sasa akuna taarifa yoyote ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadae awe mke

    Habari, Najitokeza kutafuta mwanamke ,awe mchumba later awe mke. -Nina miaka 27 -yeye awe na 27 kurudi nyuma -awe na elimu kuanzia na diploma -dini awe muislamu. Aliye tayari ani pm.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kuzaa nae!

    Njoo kwangu, nikuonyeshe na sample za mbegu ninazogawa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo liko wapi mbona siitwi kwenye interview?

    nimepiga Information Techchnology
  10. S

    JamiiForums Tanzania bei ya godoro za tanfoam

    jaman,samahanini sana. kwa mwenye uzoefu wa bei za godoro la tanfoam 5×6 inchi 10 naomba anijuzee. maana kabla mwaka haujaisha ,itabidi nijitahidi kupata godoro ya kulalia. natangulisha shukran zangu za dhati.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo liko wapi mbona siitwi kwenye interview?

    Tangu mwaka jana ,nianze kutuma barua posta, sijawahi kuitwa interview hata moja kwa barua ninazo zituma kwa kutumia posta. Wajuzi wa mambo naombe mnijuze tatizo litakuwa nini apo nakosea kutuma au huwa hazifiki Mara ya mwisho tulituma mkono kwa mkono na rafiki yangu,yeye kaitwa interview na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PHP frameworks(codeigniter)

    jaman,nawezaje kujifunza hii frameworks inaitwa codeigniter??? nimeangalia videos zake zote bado cjaelewa. embu mwenye njia rahis kwa jins gan naweza anza anisaidie jaman natanguliza shukran zangu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kiasi ninachodaiwa na HESLB?

    Swali langu ni kama lilivyojieleza hapo juu? Nitajuaje kiasi ninachodaiwa na Loans Board? Maana ni mwaka sasa tangu nimalize elimu ya juu na bado sijajua kiasi ninachodaiwa. Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Back
Top Bottom