- Thread starter
- #21
nimepiga Information TechchnologyUmesoma kozi gani nikupe ushauri
nimepiga Information TechchnologyUmesoma kozi gani nikupe ushauri
Nyota babaTangu mwaka jana ,nianze kutuma barua posta, sijawahi kuitwa interview hata moja kwa barua ninazo zituma kwa kutumia posta.
Wajuzi wa mambo naombe mnijuze tatizo litakuwa nini apo nakosea kutuma au huwa hazifiki
Mara ya mwisho tulituma mkono kwa mkono na rafiki yangu,yeye kaitwa interview na me me nika achwa solemba
Ama kwelI mikosi duniani ipo