Recent content by skylumu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Zahera na mashabiki wa Yanga

    umbea umewaponza ombaomba fc.
  2. S

    JamiiForums Tanzania NJOMBE: Mwanafunzi wa Darasa la Pili auawa

    serikali imeendelea kufeli katika kupambana na wahalifu,watupe ruksa wananchi wenye uchungu tuingie mtaani kuwasaka kininja tu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jamani mnaokunywa kila siku ela mnaipata wapi

    weka kwenye mahitaji yako ya kila siku hutokaa ukose pesa ya kilaji daily..
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bodaboda 'za Lugola' zenye tela kuwa hivi...

    maamuzi ya kipuuzi sijawahi ona popote
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nina hamu ya kuyaelezea maisha yaliyopita, yaliyopo na yajayo ya mwanaJF yoyote

    haha atanyolwa kweli tehteh
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mungu alimsadia sana binadamu kusahau msiba mara tu baada ya kuzika!

    hakika mungu mkubwa..
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na msafara wa wafuasi wa CCM ukipita barabara ya mwendokasi na polisi hawawakamati

    usishangae mkuu kila kitu wapo juu ya sheria.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    hebu kumbuka hayo mengine uliyosahau ili tukupe tafsiri halisi ya ndoto yako tusije tafsiri nusu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada sehemu nzuri ya malazi Moshi Mjini

    njoo malindi.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife ana makusudi sana aisee...!!!

    acha tamaa za fisi!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo taratibu sana kwenye utoaji wa huduma! Tubadilike

    sure, kuna shida sana katika uharaka wa utoaji huduma tz, uvivu,uzembe,kujisikia, maringo na kujiona wanasahau kuwa hizo ni dhamana tu wakizopewa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Watu wazito wananikera

    kuna mengi yanayochangia mfano malezi, mazingira, nature ya mtu au hata uwezo wa ubongo kufikiri kwa haraka, ndo maana hata darasani kulikuwa na slow learners na wale waelewa haraka hivyo katika kufanya approach ya kitu tupo tofauti mkuu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwa na Msemaji Dkt. Hassan Abbas

    mbaya sana kuwa kiongozi halafu bado unaendeshwa kama toy la kichina,serikali ya awamu ya tano ina sifa kuu ya kutoruhusu watendaji wake kuwa huru, wanaongoza kwa maelekezo tu ndio shida.
Back
Top Bottom