Msaada sehemu nzuri ya malazi Moshi Mjini

Msaada sehemu nzuri ya malazi Moshi Mjini

Habari wanajamvi,nimepata ziara ya kikazi kwenda Moshi mjini.
Naomba kufahamishwa sehemu nzuri kwa ajili ya malazi(budget tsh 25-50),pia sehemu nzuri kwa kujirusha (night life),pia sehemu nzuri kwa vyakula.
Ahsanteni.
Kwa hiyo bajeti we tupa chupa stend mahabusu za moshi nzuri sana
 
Hebu nitonye mkuu! Mimi pia niko Moshi leo na kesho,sehemu ya kulala na kula ipo tayari,ila msitu ndo bado sijaujua,nnataka nichekicheki wanyama hai! Wapo wapi hapo town?
Pitia pale pub Alberto mkuu utapata wazungu pori. Kesho nitakujoin jioni mkuu
 
Uhuru Hostel panakufaa! Ni sehem tulivu sana
kwani jamaa hataki wanyama?
hapo hata muziki wa taarabu hawataki sembuse kujirusha
waego nenda mafuta street tausi lodge kila kitu mpaka asubuhi supu ya kichwa cha mbuzi
 
Back
Top Bottom