Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,708
- 35,557
Pointi ya msingi sana hii.jifunze kutembea na kuongea na watu na sio kukaa sehemu moja km jiwe ndg
Pointi ya msingi sana hii.jifunze kutembea na kuongea na watu na sio kukaa sehemu moja km jiwe ndg
Nyie msiokunywa hela mnaipeleka wapi?😀Na vitimoto na nini kuanzia jumatatu jamani mpaka jumapili mnapata wap ela jamani....mbona michakato tunafanya sawa wenzetu mnatoa wapi ela nyingi.
Tupeane hiyo michongo
Tunapiga kazi na kula 10%Na vitimoto na nini kuanzia jumatatu jamani mpaka jumapili mnapata wap ela jamani....mbona michakato tunafanya sawa wenzetu mnatoa wapi ela nyingi.
Tupeane hiyo michongo
[emoji122][emoji122][emoji122]pointAngalia maisha yako,ishi kwa uwezo ulionao kwa sasa huku ukiendelea kutafuta,ukifuatilia sana maisha ya watu utachelewa kuishi maisha yako,
Leo unauliza wanaokunywa kila siku hela wanatoa wapi?
kisha utakuja kuuliza wanaonunua magari mapya hela wanatoa wapi? Wanaosafiri sana abroad hela wanatoa wapi? wanaojenga nyumba hela wanatoa wapi?
Listi ni ndefu sana,mwisho utarukia kwenye afya za watu na kuuliza,wenye afya njema wanafanyaje kua na afya njema? Live ur life and enjoy each and everyday.
Duuh hatareeeMkipewa michongo ya pesa mnajifanya wajuaji, kaeni hivyo hivyo na dhiki zenu,
HAhahahahahahahah nimecheka sana mkuu waulizeNyie msiokunywa hela mnaipeleka wapi?😀
Hata Mimi Nilikua Najiuliza Sana Ili Swali Na Nikakosa Majibu Ila Toka Nianze Kunywa Na Kitimoto Kula Kila Siku Nashangaa Pesa Za Aya Mambo Zinanijia Daily
Tumiya pesa iku zowee maisha muluwa sana sema fainali uzeeni
Umeongea point sana,wazee wa kusign tu...mokeg kama kawaWengi tuna madaftari yetu ya mikopo pale counter tunalipa mwisho wa mwezi na huwa tunajenga mazoea/urafiki na meneja wa bar au yule muhusika wa counter tuu basi ndio heshma zetu hizo ,.wala usiwaze sana shosti,.
Shunie