NJOMBE: Mwanafunzi wa Darasa la Pili auawa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Tukio hilo la kusikitisha limetokea kwenye kijiji cha Lupembe Mkoani humo

Matukio ya mauaji ya Watoto yameibuka Mkoani humo kwa siku za hivi Karibuni ambapo Serikali inaendelea na juhudi za kupambana na waharifu wao

Aidha, matukio haya yamekuwa yakihusishwa na imani za kishirikna
 
serikali imeendelea kufeli katika kupambana na wahalifu,watupe ruksa wananchi wenye uchungu tuingie mtaani kuwasaka kininja tu.
 
... msimu wa chaguzi umewadia; "Sauti iliayo nyikani, mbali kule ng'ambo ya milima, wenye haki wanatolewa kafara kumsafishia njia. Ole! Damu ile iliayo kutoka udongoni kilio kile kikimfikia Bwana wa Mbingu na Nchi!".
 
.... anauwawa mtoto (mtu) wa kwanza, wa pili, tatu, nne, bado wauwaji hawajajulikana tu? Intelligence iko taabani sio siri. Unless wana majukumu mengine tofauti na kazi yao ya msingi.
 
Mimi ninachojua, sisi Wachagga huchinja mbuzi was kafara na tunafanya biashara pia.


Ninaomba niishie hapa.

Msianze ooh kati ya Mchagga na Mkinga ni nani anaongoza kibiashara.

Kwaheri!
 
Wakinga naona wamehamia kwenye viungo vya binadamu baaada ya ile approach ya kufanya watoto mataaahira kufeli! Shemeji zangu huko mwendako sikko!! Poleni sana mim nawatania tu pls pls
 
Tukio hilo la kusikitisha limetokea kwenye kijiji cha Lupembe Mkoani humo

Matukio ya mauaji ya Watoto yameibuka Mkoani humo kwa siku za hivi Karibuni ambapo Serikali inaendelea na juhudi za kupambana na waharifu wao

Aidha, matukio haya yamekuwa yakihusishwa na imani za kishirikna
Watu wa njombe ni wapumbavu na maskin wa akili mashetan kabsa how can you do something like that nao wachinjwee waone maumivu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu yaaani inanikumbusha wakati wa pinda akiwa pm alikuwa tabora na watu wakauwa tena ndo kisa cha pinda kulia bungeni
 
Wananchi wa huko lazima wawe wazi hivi vinafanyika ndani ya jamii yao washirikine na jeshi la Polisi waache kuweka siri..
 
Inavyo onekana matajiri wanawapa vijana pesa wafanye kazi hiyo kwa pesa nyingi..

Hao matajiri wameahidiwa na waganga wa kienyeji kuwa wakileta hivyo viungo wanapata utajiri..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom