Rais akiwa mgonjwa au akifariki Line of succession iko ivi
-Vice President
-Prime Minister
Katiba imekuwa revised 2015 na kuwatoa hao wakuu wa mihimili mingine kuhold iyo position when The post became vacant
Inategemea na kitu ulichopoteza mzee kama ni Simcards, Wallets au Card za Bank haina haja ya kwenda Huko kituoni una print tu baada ya kulipia iyo 500, Naongea ivi mana nimefanya iyo process jana
Mimi hata iwe 20k Namuambia mtu kalete kitu chenye value ýa 20K iwe Vyombo au Radio weka apo afu sema unalipa lini hata awe ndugu nafanya ivo siku alizosema zikipita nampa wiki moja ya ziada ikisha hio bado hajalipa nauza kwa hasara kitu chake
Nunua adapter ya voltage 12 output zina range 15k mpaka 20k kutegemea na quality ya adapter, Technically Kama unataka kuchange AC to DC tunatumia Rectifier na sio inverter. Ila Panel zinashusha DC na battery pia huwa charged na DC ivo utahitaji inverter as if una loads za AC
Habari wakuu, mimi ni mhitimu wa Chuo katika ngazi ya Diploma nikiwa nimesomea Electrical engineering Arusha Technical College.
Nilikuwa naomba nafasi ya kujitolea katika viwanda au mashirika ya umma kwa nyakati za wikiendi, yaani jumamosi na jumapili ili niongeze ujuzi zaidi siku za katikati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.