Natafuta offices au sites za Yapi Merkezi wanazopokea CV manual

Mtembea Peku

Member
Nov 1, 2019
7
2
Habari, nilikuwa naomba kuelekezwa mahali ambapo sites za Yapi Merkezi zinapatikana au hata office zilipo ili nipeleke CV zangu kwa mkono nimkabizi HR.

Mimi ni Electrical Technician with two years work experience.

Asanteni!
 
Mkuu google mbona zipo..directions utapata zote na contact zao utaziona ukiwapigia wanakuelekeza.

Panda daladala ya kwenda Kibaha Mlandizi au Kongowe halafu shukia Kongowe na hapo ulizia vigari vidogo esp Noah ili zikupeleke hadi Soga kijijini na ukifika hapo chukua pikipiki hadi site kwao na ukifika hapo utawakuta askari getini waelezee hiyo shida yako watakuonyesha ofisi ya HR
 
Asante sana ndugu
 
Habari, nilikuwa naomba kuelekezwa mahali ambapo sites za Yapi Merkezi zinapatikana au hata office zilipo ili nipeleke CV zangu kwa mkono nimkabizi HR.

Mimi ni Electrical Technician with two years work experience.

Asanteni!
Upo mkoa gani?
 
Mkuu unaweza nisaidia nikakutana na waturuki for interview, nafasi ya Civil Engineer
Nenda pale nyie kuna kipind mlikuwa mnaitajika sana wakikuzingua kumwona hr vizia mfanyakazi muombe namba za mahr au ma boss wao ukiwapigia wanaelew
 
Jmn eeh na mm napataka uko markez alyefankiwa yeyote au anayetaka kufatilia anijuze tuwasiliane tujue tunaanzia wp
 
Nenda pale nyie kuna kipind mlikuwa mnaitajika sana wakikuzingua kumwona hr vizia mfanyakazi muombe namba za mahr au ma boss wao ukiwapigia wanaelew
Shukrani sana mkuu, ngoja tujaribu bahati yetu
 
Habari, nilikuwa naomba kuelekezwa mahali ambapo sites za Yapi Merkezi zinapatikana au hata office zilipo ili nipeleke CV zangu kwa mkono nimkabizi HR.

Mimi ni Electrical Technician with two years work experience.

Asanteni!
Kuna KILOSA, IHUMWE DODOMA,
 
Nenda Dodoma ihumwa wana ofisi zao pale.
N:B usiache CV kwa wazinzi, waambie umpigiwa simu unahitajika ndan kumuona hr, maana hawatakagi uingie ndan, ukiwaachia imekula kwako
 
Back
Top Bottom