Pepa za Technician Tanesco utumishi

Pepa za Technician Tanesco utumishi

skull

Senior Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
157
Reaction score
104
Wakuu mwenye past paper za utumishi position ya Technician tanesco naomba aniweke apa
 
Nafasi zimetangazwa lini Mkuu za ma Technician na Tanesco hawaajirigi mala kwa mala hizo post zaidi ya Artisan zaidi hao Technician wanatolewa katika Database Utumishi wanapangiwa.
 
We bwana ni msomi unatakiwa unyooshe maelezo
technician wa tanesco ndio nini?

Haya unataka paper za civil.mechatronjcs,mechanical, electrical au zipi?
 
we bwana ni msomi unatakiwa unyooshe maelezo
technician wa tanesco ndio nini?

haya unataka paper za civil.mechatronjcs,mechanical, electrical au zipi?
Mkuu weka za mechanical technician au weka hata maswali wanayouliza kama unayajua ????
 
Back
Top Bottom