Kujitolea kufanya kazi siku za wikiendi

skull

Senior Member
Aug 18, 2016
157
104
Habari wakuu, mimi ni mhitimu wa Chuo katika ngazi ya Diploma nikiwa nimesomea Electrical engineering Arusha Technical College.

Nilikuwa naomba nafasi ya kujitolea katika viwanda au mashirika ya umma kwa nyakati za wikiendi, yaani jumamosi na jumapili ili niongeze ujuzi zaidi siku za katikati nakuwa busy kuna sehemu kidogo nina kibarua kinachonipa mkate wa siku.

Ninapatikana Arusha ila pia nipo tayari kufanya kazi popote hata nje ya Arusha

Focus ya sehemu ninazotaka zaidi kujitolea:
- Instrumentation
- Automation
- Control engineering
- Scada & PlC
 
skull, Kama ukipata sehemu ya kujitolea Njombe, kila ijumaa utakuwa unatoka Arusha kuja Njombe kupiga kujitolea then unarudi Arusha?
 
naomba kazi, Hapana mkuu nilimaanisha kama itapatikana sehemu ya internship na wanatoa chochote naweza kwenda na nikawa nafanya full time.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom