Recent content by sjevarist

  1. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Tanzania national parks

    Kwa aliye apply anielekeze alivyo attach vyeti. Mm sioni sehem ya kuattach
  2. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Waafrika waanza kuivamia nchi ndogo ya Gambia, hali ya Hatari imetangazwa!

    Jamaa sioni kitu chenye mashiko alichoandika zaidi ya pumba.Jipange maana umekurupuka kuandika..
  3. sjevarist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada App ya IMO

    Nime install IMO lakn baada ya kuweka namba nitakayotumia ili ianze kufanya kaz naona inaload tu haikubali. Msaada namna ya kutatua plz....
  4. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi chuo kikuu cha Dar, wagoma kusaini fedha ya kujikimu (Boom)

    Mi naomba kufaham, ni wote hawajapewa hiyo elfu 8500/ au ni first year peke yao?
  5. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Kanali Lubinga: Mwandishi habari ya kuibiwa Kifaru atasimulia tumemshughulikiaje, ukatili hauepukiki

    Usiombe kuwa wa Demo...,..... Lazima kamas zikutoke
  6. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Soweto

    Soweto umekuwa ni mji unaosikika masikioni mwangu kila mara. Naomba anayeijua historia ya mji huu anijuze kidogo. Ahsanteni.
  7. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaopokea mikopo kwa UDOM leo wameanza kuhakikiwa

    Wanataka uwe na vitu gani ktk ukaguzi wao mkuu?
  8. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Majengo ya escro haya hapa

    yale maghorofa ni ya Tibaijuka ila cjui kama pesa ya escrow ndo imetumika sababu gharama yake ni zaid ya hiyo bilion 1.6 hata wafanyakaz wa pale ni wahaya wote.
  9. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania (BOT), Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia patola taifa. 1.Dar-es-salaam (GDP-7.5trilion) 2.Mwanza(GDP-4.09 trilion) 3.Mbeya(GDP-3.2 trilion) 4.Shinyanga 5.Iringa 6.Morogoro 7.Arusha(GDP-2.1 triliom) 8.Tanga(GDP-2.09 trillion) 9.Kilimanjaro...
  10. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Moshi Technical School thread

    Moshi technical (dom 30)
  11. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Moshi Technical School thread

    Moshi tech (mkwawa)
  12. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Naweza kuahirisha kwenda JKT baada ya kumaliza fom 6 mwaka huu?

    Mmh mi mwenyewe mtechnical mwenzio hapa cna mpango wa kwenda kabisa bora nikapige mishe zangu kwa hiyo miezi mitano #SALUM
  13. sjevarist

    JamiiForums Tanzania Aplied Geology VS Logistic and Transpprt

    Kwa mwenye ufafanuzi tafadhali, ipi ni nzuri na vp kuhusu soko la ajira. Msaada plz!!
Back
Top Bottom