Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,051
- 12,572
Kuna siku nilisoma jinsi alivyoua watu yahaya jameh nilichoka. Nadhani sasa inaenda kutokea kama gadafi, maana na yeye aliuua weee ila mwisho wa siku akajificha chini ya daraja kama sadam hussein na akaonja umauti. Angekuwa mjanja jameh angesepa then akajipanga huko huko na kurudiAtakaye sababisha umwagaji wa damu ya watu wasio na hatia ni Yahaya, kinacho mfanya asiondoke madarakani pamoja na kushindwa kwenye box la kura ni nini?