Recent content by SIXPLANET

  1. S

    Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

    We kajamaa kajinga, anaomba arudi kwao, hutaki wakati huo ndio muda wa kutafuna watoto wazuri wengine kwa Uhuru.
  2. S

    Nafasi ya kazi ya ulinzi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha

    NAFASI ZA KAZI YA ULINZI (NAFASI 30) KITUO CHA KAZI: DAR ES SALAAM/DODOMA/ARUSHA SIFA ZA MUOMBAJI Awe Mtanzania. Awe na Umri zaidi ya miaka 18. Awe amepitia mafunzo ya Ulinzi, JKT, Mgambo. Awe na Urefu wa Futi 6 na kuendelea. Awe tayari kufanya kazi Mahali Popote Tanzania na hasiwe na historia...
  3. S

    Naomba muongozo kufungua madai yangu NSSF

    Nenda tu kawajazie mafaili lakini, pesa ya kukulipa hawana. Kazi yao ni kudanganya tu watu.
  4. S

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mitandaoni bigwa ni kigogo, mbona hajamsema kigogo, kaenda kumsema mtu mwingine yupo facebook huko.
  5. S

    Lissu anaogopwa. Raia na waandishi wazuiwa kuingia Mahakamani, Kisutu

    Wengi wanakosea hapo, baada ya kutafuta pesa, wewe unatafuta kazi (ajira), sio kosa lako hata mimi nilifundishwa hivyo, kutafuta kazi lakini week mbili baada ya kupata mshahara una anza kupiga mizinga.
  6. S

    Ili tufike Uchumi wa Kati shirikishi tunapaswa kufanya nini?

    My opinion kwenye hili, ni kwamba bado tupo kwenye right direction, kufikia huo uchumi wa kati USD (3000). Pale alipo tuacha JK uchumi wetu ulikuwa unaelekea kuwa stagnat. 1. UMEME Tusingeweza kuendelea tena kiuchumi, kwa umeme ule wa majenereta, umeme wa mgao, na umeme ulio kuwa haujafika...
  7. S

    Lissu anaogopwa. Raia na waandishi wazuiwa kuingia Mahakamani, Kisutu

    Tanzania tuna matatizo sana, Leo siku ya kazi mtu unawahi mahakamani, kusikiliza kesi ambayo uwepo wako wewe mahakamani, hautabadili maamuzi yoyote ya kesi hiyo. Kesho unalalamika kwamba vyuma vimekaza. We need to change
  8. S

    Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

    Mkuu wewe nikuwajua tu ma billionea lakini wewe mwenyewe huwi billionea, sasa sijui ukikutanao unaomba tu kupiga nao picha, sio kujifunza kutoka kwao mawazo na mikakati wanayo tumia, kuwa mabilionea, Amka brother hawo mabilionea baba zao walikuwa wa kulima tu wa kawaida wamebigana wao na kuwa...
  9. S

    Design simple za Nyumba vyumba 2

    Nyumba yenye ukubwa waa 10*13 m inatumia but kiasi gani.
  10. S

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    zzk kuwa kiongozi wa chama, i think si sahihi, wiki mbili baada ya kujiunga na chama unakuwa kiongozi mkubwa wa chama. Nafikiri wale walioshinda uwenye viti wa vijiji ndio walitakiwa wapewe nafasi, watumie mipango mikakati walio tumia kuwashawishi wananchi na kuwapa kula, kupitia chama kichanga...
  11. S

    Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

    I think gwajima hakuwa fair kwa pengo, Alichokisema pengo ni sahihi, uwamuzi wa kupiga kula ni wa mtu binafsi, where is the problem?
  12. S

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Jibu sahihi linaweza kuwa, ubungo, mbeya mjini, kawe, arusha, kigoma kazikazini, mpanda, hai, moshi. kwasababu ukawa wamejiandaa kuchukua dola, watakuaje tena wapinzani, ccm watakuwa wapinzani basi wachukue hayo majimbo.
Back
Top Bottom