Naomba muongozo kufungua madai yangu NSSF

Jul 19, 2018
35
48
Habari wadau

Ninataka kwenda kufungua madai NSSF ya kuachishwa kazi.

Je, inatakiwa nienda na nini ambayo vinaambatanishwa na fmu yangu ya madai maana ninafunga safari kwenda Ofisi za NSSF.
 
Habari wadau ninataka kwenda kufungua madai nssf ya kuachishwa kazi
Je inatakiwa nienda nA nini na nini ambayo vinaambatanishwa nA form yangu ya madai maana ninafungua safari kwenda Ofisi za nssf
Nenda tu kawajazie mafaili lakini, pesa ya kukulipa hawana. Kazi yao ni kudanganya tu watu.
 
Nenda na barua ya kuachishwa kazi pamoja na barua ya utambulisho au copy ya mkataba
Watakwambia ulete na certificate of service
 
Mwambie mwajir akuandikie barua ya kutokuendelea kukuongeza mkatakaba mwingine kisha utaenda na nakala ya barua pamoja na nakala ya mkataba ulioisha
Mkataba wenyewe uliisha mwaka jana mwezi wa nane. Nataka nikafuatilie naona nimeanza kufulia
 
Back
Top Bottom