Salaam wakuu✋🏽
Naomba ushauri juu ya ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa kwa muongozo ufuatao; (though not limited to that)
1. Aina gani ya Ng'ombe wa maziwa inatoa maziwa mengi? Kwa maeneo ya joto joto kama pwani na Morogoro.
2. Naweza kuotesha nyasi aina gani kwa ajili ya malisho? Aina zipi...
Wanajamvi salamu!
Mimi ni mfugaji mdogo, nipo Morogoro.
Naanza kwa kumtambulisha Sasso kwa ufupi; Sasso ni kuku chotara wa nyama asili yake ufaransa, na hutokana na jamii ya broiler. Ni kuku anaejaza nyama sana.
Najipanga kuzalisha Sasso kati ya 200 na 300 kila mwezi, wakiwa na umri wa miezi...
Salamu wandugu!
Nauza mayai ya Sasso (Kuku chotara) trei 12,000/= , yanafaa kwa kutotolesha na pia kwa kula. Napatikana Morogoro mjini, Kihonda maghorofani!! Karibuni niwahudumie, popote nakufikia! Mawasiliano 0655454699
Mkuu mimi nina hofu ya Mungu hata kabla ya hizo ajali, labda niseme nimezidi kumpenda sanaaaa sanaaaa maana nimejua kuwa anapigana na wanaopigana nami usiku na mchana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.