Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

Mkiambiwa muache uzinzi mumfate Yesu hamtaki, endelea ivo ivo.
 
Maadamu miliyo hiyo ipo kwenye simu hebu tupia hapa jamvini tuisikie.
 
Nashukuru Mungu nimeongeza siku za kuishi! Ebu mkuu tutumie huo muungurumo wa paka......ahahhahahahha
 
Pole sana kwa tatizo, na ninakusifu kwa ujasiri wako wa kuleta mada hii. Hili jambo ni tatizo lakini sio ugonjwa. Tatizo hili linatokana na sababu nyingi sana, lakini sababu kubwa ni pale unapokaribia kukojoa, kuna reactions zinazotokea ndani ya mwili kupelekea kutoa zile mbegu, sasa reaction hizo zina nguvu na kusababisha mzunguko wa damu kuwa wa haraka ndo maana mapigo ya moyo yanaongezeka, sasa kitendo hicho kina kinakua hakipeleki Oxygen inavotakikana kwenye different tissues za mwili, na pia Carbon dioxide inakua inakatika yaana inakua ndogo kutokana na kishindo hicho cha kutaka kukojoa, sasa inapokata hiyo Carbon dioxide ndipo tatizo linapoanza kutokea kwenye mfumo mzima wa kuhema, na pia kusababisha Nervous System kuwa formed, ndipo kusababisha hali hiyo ya kung'uruma. Hewa inavozidi kua ndogo ndani ndo sauti inapokua kubwa zaidi. Na pia inaendana na tatizo la Psychology pia. chakufanya, kama ni mvutaji sigara basi acha mara moja, pendelea kupata usingizi wa kutosha si chini ya masaa 8 kwa siku mda mzuri ni kwanzia saa tatu usiku hadi saa kumi na moja alfajiri, piga sana mazoezi hasa ya kukimbia kuogelea na ya viungo yaan ya kujinyoosha, kunywa maji kwa siku lita si chini ya 5 pale unapoamka tu kabla hujala chochote tumia lisaa limoja kunywa maji na hakikisha unakunywa lita moja. acha kuangalia video za ngono, na kula sn matunda hasa yale ya maji km machungwa, matikiti na ma apple. kula asali ambayo ichanganye na tangawizi na manjano kutwa mara 3, achana na misosi ya mafuta hlf piga sn vegetables na salad. tatizo likiendelea muone daktari wa saikolojia. Kila la Heri.

Wacha uongo bana,
Haiusiani na damu wala nini. Ni utamu tu umekolea mtu anashindwa kujizuia!!

Ni kama ile ya mtu kuambiwa umtukane fulani wakati wa majamboz, pale unakua na akili nusunusu sababu za raha na utamu wa ile kitu.
 
HABARI GANI MARAFIKI HUMU NDANI NI MATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA NJEMA.

Nakuja mbele yenu ili niweze kupata ushauri juu ya hili tatizo linalonikabili la ninapokaribia kufika kileleni (mshindo) naanza kuunguruma na miungurumo hiyo si ya kawaida ni ile inayofanana na wanyama kama simba, chui, mbuzi beberu, paka au mbwa na wakati mwingine hugugumia kama njiwa nk.

Tatizo hili lilianza kipindi cha nyuma kidogo na ex-girlfriend alinipigia sana kelele kuhusu tatizo hilo lakini sikumwelewa sasa huyu wa sasa hivi amenishikia bango na kudai nisipobadilika basi nijue sina mda mrefu nae kwani huko kuunguruma kuna mkera sana na kwa kunithibitishia hilo juzi kati tukiwa kwenye malavi davi alichukua kilonga longa chake akakiseti kwenye record ile tunaanza akabofya button ya kurekodia nisijue nini kinaendelea.

Baada mchezo wenye ushindi wa magoli matatu ndipo aliponiambia kwamba leo alikuwa na zoezi moja tu la kunirekodi huku nikimpuuza kwa hayo aliyoniambia kwani ni kweli huwa naunguruma lakini si kama anavodai, baada ya zoezi hilo aliifungulia simu na kuweka sauti juu kabisa kwakweli sikuweza kuamini kilichotokea yaani katika magoli yote niliweza kubadili miungurumo mitatu ya wanyama tofauti tofauti yaani iliogofya sana nikaone hapana niende jamvini nikatoe lililonisibu huenda nikapata pa kuanzia kwani mpaka sasa sijui nianze kwa vigagula au hospital.
 
Jirekebishe siku utakayo toa mlio wa fisi ndio itakuwa siku yako ya mwisho ya kuwa na huyo demu
 
Hii kitu ni serious lakini nimesikitishwa na comment za watu..ebu wewe ulie comment upuuzi jaribu kuvaa uhusika uone..!!!! Brother ushauri autofautiani kabisa na wa scorpion girl..Mungu atakujaalia uzima..
 
Back
Top Bottom