Why we must focus on Rain water harvesting?

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
230
402
Why we focusing on Rain water harvesting?
It is simply that most of areas receive at least 600mm as total annual rainfall, this amount is big if we invest in rain water harvest (charcoal dam) , harvesting up to 250mil litres that you can feed on 500 cattle, irrigate more than 20 acres and more throughout the year. With this investment you found water free from saline and harmfu minerals (Cl, F, Hg etc) unlike ground water! We can design and construct for you! Call us +255763347985
9bbb0c02aa1485941c439f68ab3ff7b6.jpg

7a8be2faafcc07802ac01ab9eb62f4c7.jpg

7173b3aa555febf82ca6c25671c0b579.jpg
 
Imekaa njema sana ila gharama nahisi itakuwa juu sana kwa mtanzania wa kawaida (mkulims mdogo) kuweza kumudu
 
Nilishawatafuta, pm tukapeana namba vizuri tuu Sasa nawapigia mnielekeze mlipo hapa Moro ili tuonane ana kwa ana nikajibiwa "subiri tutakupigia" wiki ya pili sasa
 
Hiki ni kitu ambacho serikali ingewekeza nadhani ingemaliza kabisa tatzo la njaa nchini....mpaka saivi nipo tabora wilaya ya nzega nilikuja kwa ajili ya kilimo cha mpunga....kilichotokea ni kwamba mwanzoni mwa January mvua ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba haikuwezekana kuendelea na kilimo tena....maji yalijaa sana mashambani kwa takribani wiki 2....then mvua ikakata katkat ya January.... Maji yote yalokuwepo yalikuwa yashapita...and yalobaki yanakauka kwa speed kiasi kwamba maeneo mengi haiwezekani tena kupandikiza mpunga...nilikuwa nawaza tu kama kungekuwa na miumdombinu ya kuvuna maji nadhani wakulima wangekuwa wanalima mwaka mzima.....badala ya kununua a lots of bombardier nadhani serikali ingewekeza kwenye hii kitu....sio tabora tu....Moro.... Dodoma....kuna sehemu maji ya mvua huwa yanakuwa mengi sana
 
Back
Top Bottom