Nauza mayai ya Sasso (kuku chotara)

Nauza mayai ya Sasso (kuku chotara)

sisame

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
365
Reaction score
321
Salamu wandugu!
Nauza mayai ya Sasso (Kuku chotara) trei 12,000/= , yanafaa kwa kutotolesha na pia kwa kula. Napatikana Morogoro mjini, Kihonda maghorofani!! Karibuni niwahudumie, popote nakufikia! Mawasiliano 0655454699
 

Attachments

  • IMG_20180105_080648.jpg
    IMG_20180105_080648.jpg
    152.8 KB · Views: 125
Ungetupia na picha za hao kuku ili tuwaone,maana wengine hatuwafahamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom