Recent content by SirLuke

  1. SirLuke

    Kosa kutumia pesa usiyoitambua

    Wana JF, Najua kuna wanasheria na mawakili wengi humu ndani. Naomba kufahamu, iwapo mtu amepokea pesa kutoka kwa mtu usiyemfahamu na ukaitoa na kuitumia bila ridhaa yake, je sheria inasemaje kuhusu hili?
  2. SirLuke

    SoC02 Ndoto ya mpira mpaka kuchapa tisheti

    Story of change. Hadithi yangu inaanzia asubuhi ya Mei 9, 2017 baada ya kupokea simu. Haikuwa ni namba ngeni kwenye simu yangu, alikuwa ni mtu mwenye nilikuwa nikimfahamu na ni mtu wa karibu sana. Baada ya kupokea simu, ndipo upande wa pili akaanza kuongea maneno mazito na yenye uchungu ndani...
  3. SirLuke

    Traffic na pikipiki barabarani.

    Habari wakuu, Naomba kuuliza. Hivi inabidi ukamilishe vitu gani haswa kwenye pikipiki yako ili usisumbuliwe sana na traffic barabarani? Ikiwa ni binafsi tu sio ya biashara. Aksanteni.!
  4. SirLuke

    Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

    Mkuu na mimi naomba link la kupata nougat Simu yangu Ni tecno y6 Nimeiupdrade kwenye mashdawall android 6.0
  5. SirLuke

    FURSA KUTOKA HELPING HANDS INTERNATIONAL

    kujiunga ni kiasi gani
  6. SirLuke

    Fursa kwa kianzio kidogo sana cha 9000 tu.

    Naitwa Luke Karumuna. samahan mpendwa ningependa nikushirikishe ktk fursa kubwa sana kutoka ORIFLAME,.Ni fursa ya kipekee itakayokufanya uzid kunawili kuwa mrembo zahd huku ukifurahia matunda ya urembo wako. ni kampuni pekee ambayo itakufanya ujitengenezee kipato kikubwa xana had dola 1000 kwa...
  7. SirLuke

    List za biashara au fursa

    Good ideas..thanks broo
  8. SirLuke

    Lowassa akataa mdahalo na Magufuli isipokuwa...

    Hii sheria wala haifanyi kazi! kwann huyu asichukuliwe hatua??
  9. SirLuke

    Lowassa kadharau Mahakama, polisi na wapenda amani wote

    yaan! aliyepost mada hii!..mmmh! Yeye kasema atawatoa kisheria na hajasema atawafungulia tu! kuwa makin ktk usikilizaji wako na utafakuri neno kabla ya kulitoa! na kuhusu ajira mbona amesema kuhusu ajira!
  10. SirLuke

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    balaa pale utapotaka kurudi kinyumenyume!
  11. SirLuke

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    hatuendelei kwa 7bu ya mawazo ya wachache
  12. SirLuke

    Apps zenye kutunza kumbukumb

    dah! mi nawashukrun sana wakuu na Mungu awabariki sana.
  13. SirLuke

    Apps zenye kutunza kumbukumb

    ahsante sana mkuu!..
Back
Top Bottom