GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,602
- 127,976
Mgombea Urais wa UKAWA Ndugu Edward Lowassa AMEKATAA KUFANYA MDAHALO WOWOTE Na Mgombea Urais Wa CCM Dr. John Pombe Joseph Magufuli Mpaka MASHARTI Haya Yafuatayo YATEKELEZWE:
Hadi Sasa Waandaji Wa Huo MDAHALO Ndiyo Wako Ndani WANATAFAKARI Haya MASHARTI Ya Lowassa Na Ktk Hali ILIYOWASHANGAZA Kama Siyo Kuwafurahisha Hawa Waandaji Wa Huu MDAHALO Ambao Ni Kampuni Ya Wazungu Wa Kutoka Nchi Za Jumuia Ya Umoja Wa Ulaya Ni Kitendo Cha KISHUJAA Cha Mgombea Urais Wa CCM Dr. Magufuli Kusema Kuwa Yupo Tayari Kwa MDAHALO Muda Na Wakati Wowote Tena Hata Akiamshwa USINGIZINI Na Kama Haitoshi Akasema Kuwa Yupo Tayari Pia Hata Kuhojiwa Kwa Lugha Ya KIFARANSA Kwani Yeye Ni Linguist Tena ALIYETUKUKA Na Anajiamini.
Hatua Hii Ya Dr. Magufuli ILIWAFURAHISHA Sana Hawa Wazungu WAANDAJI Wa Huu MDAHALO Na Kwa Masikio Yangu YALIYOTUKUKA Nimewasikia Wakisema Nanukuu " Hakika Watanzania Sasa Mmepata Mrithi Wa Nyerere Kwani Huyu Dr. Magufuli Yupo Makini Sana, Atawafaa Mno WATANZANIA Na Anajua Anafanya Nini Hivyo Hakikisheni Kuwa Mnamchagua Kwani Tunaweza Hata Kuwasamehe Kama Si Kuwafutia Madeni Yenu Yote ILA Sisi Wazungu TUSIWAFICHE Kama Watanzania Mtaingia Choo Cha KIKE Hakyamungu MTATULIPA MADENI YETU YOTE ASUBUHI TU Na MKICHEZA Hata VIKWAZO Tutawawekeeni Ili Mtie Adabu " Mwisho Wa Kuwanukuu Hawa Wazungu.
Kwa USHAURI Wangu Tu Watanzania Wenzangu Tusifanye Makosa Kwa Pamoja TUHAKIKISHE Tunamchagua Kwa Nguvu Moja Mgombea Wa CCM Dr. John Magufuli Ili Awe Rais Wetu Na Tambueni Kuwa Urais Haujaribiwi Kama Nguo Za Mitumba Za Wamachinga. Kazi Kwenu!
- ARUHUSIWE KUFANYA MDAHALO HUKU AKIWA AMEKETI KWENYE SOFA ZURI.
- APEWE MASWALI ATAKAYOULIZWA ILI AYAKARIRI ANGALAU KWA WIKI 1 TU KWANI SASA AMEZEEKA.
- LUGHA AMBAYO ITATUMIKA IWE YA KISWAHILI TU NA SIYO YA KIINGEREZA.
- KTK MDAHALO HUO WAWEPO MAMA NTILIE, WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WENGI.
- ANATAKA AWEPO NA AKINA MBATIA, MBOWE, SUMAYE NA LISSU ILI WAMSAIDIE KUJIBU MASWALI.
- GARI YA AMBULANCE YENYE VIFAA TIBA VYOTE MUHIMU LIWEPO STANDBY.
- KTK HUO MDAHALO KUWEPO NA LIFTI KWANI YEYE NI SPANA MKONONI TENA ALIYETUKUKA.