List za biashara au fursa

printing biznez inahela sema inahitaji umakini na uharaka wa kukabidhi kazi kwa mteja....ubora wa product ndo msingi wa hii kitu otherwise utakimbiwa na wateja.
 
gud idea....mtaji sasa.....issue kamtaji...bwana...
Umeooonaaa eenh! unadhani kazi kufikiria wazo la biashara..kazi ni mtaji na upate site nzuri na ubunifu piaa...ujasiriamali unahitaji alot of thing sio wazo tu la biashara!!
 
Aisee nimekupenda ghafla. Fursa zote hizo lazima kichwa kichangamke tu kuanzisha biashara mbili tatu kama sio nyingi otherwise MTU ukisema hakuna ajira una kuwa unajipendea kwa sababu fursa za biashara zipo kwa level tofauti kulingana na uwezo ulionao.
 
Namba 5......hii inshu siwez ifanya,faida kupata inaweza kuwa hata baada ya miaka 10
 
mkuu no 15 kuna pkpk haitumii mafuta????? kama ipo naweka oda.
 
Back
Top Bottom