Recent content by Sirluda

  1. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

    Wadau nilikuwa shambani siku za karibuni nilikutana na kitu cheusi kinachong'aa lakini sio makaa ya mawe.Ni kizito kina matundu matundu na hakishiki kwenye sumaku.Naombeni wanaoweza kutambua ni kitu gani mnieleweshe.Picha nimeambatanisha.Asanteni!
  2. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Asante sana Mr. Abdul Nondo kwa kuleta maajabu ya aina yake

    Mtu yeyote katika nchi hii akionekana ni mkosoaji wa serikali hubambikiwa na vitu vingi kama vile siyo raia halali au mkwepa kodi. Watawala wanadhani wakosoaji wengi sio raia wa nchi hii kweli tutafika?Nafia Africa#
  3. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Makambako

    vipo vya mil 3
  4. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Makambako

    Kiwanja chenye nyumba kina ukubwa wa sqm 1400 na kimepimwa.Kipo ndani ya halimashauri ya mji wa Makambako barabara kuu kuelekea njombe bei ni kuanzia 17M maelewano yapo. Kwa anayehitaji ani PM na pia kuna viwanja vingine wanaohitaji wawahi mapema.
  5. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mtoto wa mjomba, Bombadia, Ukanda na kitabu maarufu cha "It is our turn to eat"

    kigezo cha nchi kupata misaada kutoka nje ni inayofuata misingi ya utawala bora pamoja na demokrasia safi.Ukiona misaada mingi imekata jua hivyo vitu hapo havipo nchini kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasema adhabu waliyopewa Halima na Bulaya haitoshi, mwingine ataka wafutwe kabisa ubunge

    Wabunge wa viti maalumu ccm ! kaz yao ni kuchangia kwenye mambo kama haya kwenye mambo mhim ya kujenga nchi wapo kmya!
  7. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Hiki kilaji mnakiitaje kikwenu?

    mang'eng'e kule Iringa
  8. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro atangaza oparesheni maalum kwa wenye vyeti vya kugushi

    Wahanga wakubwa wa kukaguliwa vyeti ni walimu tu sekta nyingine nadhani wapo poa tu
  9. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Mama Samia agawa sambusa kwa maofisa wa jeshi

    hayo ni mazingaombwe ya kubana matumiz et!
  10. Sirluda

    JamiiForums Tanzania TCU: Wasiokuwa na Sifa Walipenyezaje CAS? Au walidukua mfumo?

    mi nahisi walijoin via link
  11. Sirluda

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Wilaya ya Kigamboni wawavua ukuu wa Shule walimu shule zilizoshika mkia NECTA

    kwa hio mimi huwa nashindwa kuelewa ina maana Wakuu wa shule ni chanzo cha wanafunzi kufeli? Na kumbukeni katika elimu kuna kufeli na kufaulu.Kwa mawazo ya WaTz wanajua lengo la shule ni kufaulisha wanafunzi.Elimu ni pana jaman ni zaidi ya kufaulu
  12. Sirluda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupenda usipopendwa na kupendwa usipenda

    love is not universal!
Back
Top Bottom