Viwanja vinauzwa Makambako

Viwanja vinauzwa Makambako

Sirluda

Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
12
Reaction score
8
Kiwanja chenye nyumba kina ukubwa wa sqm 1400 na kimepimwa.Kipo ndani ya halimashauri ya mji wa Makambako barabara kuu kuelekea njombe bei ni kuanzia 17M maelewano yapo. Kwa anayehitaji ani PM na pia kuna viwanja vingine wanaohitaji wawahi mapema.
 
Kama wewe ni dalali , kuna eneo huku ukitokea Iringa, reli chini...kipagamo...sqm 3879 panauzwa 12m. Pameshapimwa
 
Tafuta Wateja, ni eneo ktk ramani ni pakuweka hotel, hostel nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom