Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Baadhi ya wabunge wamedai adhabu waliyopewa Halima Mdee na Bulaya haiwatoshi huku mbunge mmoja akitaka wabunge hao wafutiwe kabisa ubunge
Wabunge hao ni Ally Kessy amabaye amesema wabunge inawezekana wanavuta wadawa ya kulevya, mwingine ni Mary Chatanda aliyesema Bulaya amebadilika sana tofauti na alivyokuwa CCM
Jackiline Ngonyani wa CCM amesema wabunge hao wangefutiwa kabisa ubunge wao ili wapate kiki vizuri
Hadija Abood nae alisema adhabu waliyopewa haitoshi na ikiwezekana spika angewaondoa wasiwe wabunge kabisa
Mbunge Ally Saleh amesema kulikuwa hakuna haja ya jambo hilo kufanywa kwa haraka na ndio maana imezua mjadala
Abdallah Mtolea mbunge wa Temeke alisema adhabu waliyopewa ni kubwa na ingepaswa waangalie adhabu nyingine za kuwapa na mwezi wa ramadhani ni mwezi wa kusamehe
Wabunge waliowatetea ni Kubenea ambaye alisema Spika ndiye alikuwa mlalamikaji kisha ndiye mtoa hukumu na hajatumia busara na hata kwenye ripoti waliyotoa hikutajwa ambayo ilikuwa ni majibu machafu ya Lusinde kwa wabunge na ushahidi upo
Badhi ya wabunge waliwatetea b