SIMBA (ndevu)aunguruma na aungurumapo ! simba aunguruma hekaluni kwake leo hii akaunguruma NATION STADIUM sidhani kama kuna kadudu chochote kile kitatingisha kamkia kake
tupunguzeni Jazba na turuhusu akili zetu zifanye kazi Mhe Raisi J Kikwete amejibu HOJA zote hasa zogo la KATIBA,na kama hautaki unalo lako jambo na kama nihivyo tafuta kamba ujinyonge kimyakimya maaana yeye Mhe Jakaya Mrisho Kikwete ni Amiri Jeshi Mkuu na Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
mimi sikuomba kutukanwa mimi nataka waheshimiwa hawa wanadai nini hatahivyo vyombo vya habari hakuna waliosema Chadema wanatakaje ? Hii ni nafasi adhimu waliopata watanzania bila umwagikaji DAMU.mbona kuna wachache wanakataa nafasi hii muhimu sana kuna agenda ipi inayoendelea.
BilaShaka kila mmojawetu anayeitakia mema nchi yetu ambaye hana chembe ya Ubaguzi.Mh Raisi aliposema anaridhia Tanzania si Kurekebisha KATIBA bali Kutengeneza KATIBA MPYA alifurahishwa na kauli hiyo kwasababu Mh Kikwete atakuwa Raisi mojawapo wachache walioridhia kutengenezwa Katiba pasina damu...
Usije fanya hivyo kwa mwanao ! Mapenzi ni ngumu kuyaelezea,aoe nani mwanao malaika? Mtazame pdidy wa ukweli na Jeniffer Lopez.pdidy hajao na inaelekea haoi anamfanya kiwanda cha watoto mamawatoto pasina kumu oa na jenny ni hatari zaidi jamaa wanabadilishana mlangoni.unajua kisa ninani ? Mamayake...
Steve Paul Jobs, alizaliwa feb24,1955.akiwa na Umri wa Mwezi mmoja ALIASILIWA na Bwana Paul na Bi Clara Jobs,Steve hakuwahi kuwasiliana na wazazi wake maisha yake yote na hawajulikani walipo mpaka sasa.STEVE JOBS Hakwenda Shule kabisa ! ( wana wa IT mpo ! ) akiwa na miaka kati 15-18 alikwenda...
kwamujibu wa taratibu/na kanuni za heshima na adabu, sheria za nchi pamoja na za kimataifa siruhusa kumhoji ama kwida hatakama amevunja sheria MWANAMKE iwapo wewe ni MWANAMME wenyewe/waislam wanasema wamedhalilishwa .kwa kulinda heshima ya chama kuomba radhi ni LAZIMA.Yule mzinifu mfaransa...
nafafanua tena kundi dogo- angalizo tazama familia yako- kati ya watu kumi, watano wamekwenda shule, kwa maana shule na kazi kwamaana kazi watapata wawili kundi kubwa kati ya watu kumi mmoja/hamna shule ,kazi yuleyule mmoja/hamna.
nafafanunua hapo mandela alivyoicha morogoro kabla hajafungwa na baada ya kutoka jela na sasa akijaliwa kuja iko vilevile na zaidi umeme hamna! Ukikiacha kichwa chako huru ukafikiri tatizo ni UBAGUZI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.