Je, Hijabu ina thamani kuliko Uhai wa binadam?

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Hili nalo ni la kushangaza. Hivi kipi chenye thamani, HIJABU au UHAI wa binadam aliyeumbwa na Allah? Mbona sijawasikia Bakwata au shura ya Maulamaa? Mufti Simba upo wapi? Kondoo zako wanachinjwa wewe unakalia kiti cha kuzunguka. Naomba mwenye ''Ilmu'' aje atueleze kama hijabu inathamani kuliko uhai wa mwislam kijana yule aliyeuawa kinyama.
 
Hili nalo ni la kushangaza. Hivi kipi chenye thamani, HIJABU au UHAI wa binadam aliyeumbwa na Allah? Mbona sijawasikia Bakwa au shura ya Maulamaa? Mufti Simba upo wapi? Kondoo zako wanachinjwa wewe unakilia kiti cha kuzunguka. Naomba mwenye ''Ilmu'' aje atueleze kama hijabu inathamani kuliko uhai.

Sijakuelewa, rudia kuongea kwa sauti ya juu kidogo.
 
Hili nalo ni la kushangaza. Hivi kipi chenye thamani, HIJABU au UHAI wa binadam aliyeumbwa na Allah? Mbona sijawasikia Bakwa au shura ya Maulamaa? Mufti Simba upo wapi? Kondoo zako wanachinjwa wewe unakilia kiti cha kuzunguka. Naomba mwenye ''Ilmu'' aje atueleze kama hijabu inathamani kuliko uhai.

Jaribu Ku Edit ilete maana.
 
Jaribu Ku Edit ilete maana.
Msijifanye hamuelewi,akiandika openly,invisible anafuta.Anamaanisha BAKWATA walitoa kauli juu ya kudhalilishwa mama wa kiislam kwa kuvuliwa hijab ktk harakati za kisiasa, je hakuna kauli ya bakwata juu ya kuuwawa mwislam Masoud ktk harakati za kisiasa? so kwao hijab na CCM ndio muhimu
 
Hili nalo ni la kushangaza. Hivi kipi chenye thamani, HIJABU au UHAI wa binadam aliyeumbwa na Allah? Mbona sijawasikia Bakwa au shura ya Maulamaa? Mufti Simba upo wapi? Kondoo zako wanachinjwa wewe unakilia kiti cha kuzunguka. Naomba mwenye ''Ilmu'' aje atueleze kama hijabu inathamani kuliko uhai.
Hawajatumwa na magamba!! kutoa tamko. Wanapataga ruzuku kutoka kwa majambazi wa magamba kutoa matamko.
 
Chadema ni kama yatima tena asiye na ndugu wa kumtetea' tuombe mungu' tutapigana peke yetu na inshaalah tutashinda!
 
Msijifanye hamuelewi,akiandika openly,invisible anafuta.Anamaanisha BAKWATA walitoa kauli juu ya kudhalilishwa mama wa kiislam kwa kuvuliwa hijab ktk harakati za kisiasa, je hakuna kauli ya bakwata juu ya kuuwawa mwislam Masoud ktk harakati za kisiasa? so kwao hijab na CCM ndio muhimu

sasa hapo si umetafuta hii thread kufutwa tu?
 
Chadema ni kama yatima tena asiye na ndugu wa kumtetea' tuombe mungu' tutapigana peke yetu na inshaalah tutashinda!
Mkuu naona uelewa wako ni mdogo. Au wadanganye wapuuzi wenzako. chadema ina backup ya makanisa na hasa katoliki na baadhi ya waumini watiifu ndani ya ccm. huoni siri za ccm zinavyolikishwa kwa akina slaa? funguka macho kama bado umelala.
 
ALafu usishangae wakakuambia huyo Masud alikuwa Kafir tu akaamua kujipa chika Jina...Wanasahau hata kwenkuaga wale wahanga waliouawa Arusha Mmoja wao alikuwa Muumini wao na Aliombewa na ustaadhi mmoja wa Arusha!
 
Hawa jamaa wamepoteza credibility kabisa mimi binafsi siwatambua bakwata kwani hata sijui wanarole gani katika maendeleo ya waislam Tanzania
 
Mkuu naona uelewa wako ni mdogo. Au wadanganye wapuuzi wenzako. chadema ina backup ya makanisa na hasa katoliki na baadhi ya waumini watiifu ndani ya ccm. huoni siri za ccm zinavyolikishwa kwa akina slaa? funguka macho kama bado umelala.
Taratibu ndugu, una maana wanaolikisha siri za uozo ni Wakristo? kwa maana hiyo waislam wanaona ni heri uozo ushamiri kisa kuilinda Ccm yao? mbona kuna upungufu wa hekima hapo? Yaani unataka kusema kwamba waislam wamekuwa maswahiba wa Ccm, tena Ccm ile eli iliyomtuma Mahita kutangaza ati kile chama cha Waislam kimeingiza container la Visu,hakifai kuchaguliwa? Leo Bakwata mmekuwa wasemaji wao?
Okay, tuyaache hayo, je ile kupaza sauti kukemea uvuaji wa Hijabu, mbona haijasikika kwa kiumbe mwislam Swafi aliuawa? Swali langu lipo hapo, Je, kipi kina thamani,?
 
Msijifanye hamuelewi,akiandika openly,invisible anafuta.Anamaanisha BAKWATA walitoa kauli juu ya kudhalilishwa mama wa kiislam kwa kuvuliwa hijab ktk harakati za kisiasa, je hakuna kauli ya bakwata juu ya kuuwawa mwislam Masoud ktk harakati za kisiasa? so kwao hijab na CCM ndio muhimu

Hapo Ndipo imeeleweka vizuri, maana kuna wengine hawajui hiyo hijabu ilikuwaje na Bakwa nini? Niliomba Aedit ili watu wengi wapate faida zaidi na kwa roho safi tu.
 
Hili nalo ni la kushangaza. Hivi kipi chenye thamani, HIJABU au UHAI wa binadam aliyeumbwa na Allah? Mbona sijawasikia Bakwata au shura ya Maulamaa? Mufti Simba upo wapi? Kondoo zako wanachinjwa wewe unakalia kiti cha kuzunguka. Naomba mwenye ''Ilmu'' aje atueleze kama hijabu inathamani kuliko uhai wa mwislam kijana yule aliyeuawa kinyama.

Kauli gani mnataka maana mmeanza kuvua hijabu ..

Mlipoona waislamu hata hawakukasirika (provoked vya kutosha) ..

Mkaamua kumuua wakala wenu kijana wa kiislam (maskini umaskini mbaya)...

Laana itawakula nyie chadema na hizo chuki zenu kwa waislamu

Think aloud
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom