Duh! Kikwete kweli Mwisho!

tupunguzeni Jazba na turuhusu akili zetu zifanye kazi Mhe Raisi J Kikwete amejibu HOJA zote hasa zogo la KATIBA,na kama hautaki unalo lako jambo na kama nihivyo tafuta kamba ujinyonge kimyakimya maaana yeye Mhe Jakaya Mrisho Kikwete ni Amiri Jeshi Mkuu na Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
 
si ndio hata mimi nashangaa, huu moyo wa watu kumsikiliza unatoka wapi? tatizo lipo kwa wananchi, yaani huyu hakustahiri kuwa na mtu anaemuunga mkono mpaka mida hii, jamani hivi ina maana watanzania ndio wavumilivu sana wa matatizo au matatizo hayajafika pabaya zaidi au ni wajinga...maana nashindwa kuelewa, serikali mbovu namna hii lakini bado tu mnaishobokea.......anyway wanasema kuna demokrasia, endeleeni kwa kweli wenye huo moyo mimi siwezi, naona nitapasuka kwa hasira nikimuona kwenye screen.

Mwenyewe cjui kama kuna mtu ninaemchukia kama huyu na cjui kama itajatokea
 
Jiulize kwann hakutoa hatuba yake mbele ya jukwaa la wahariri au wanazuoni?
Kwann achague kundi hili?
Kwann aogope kuulizwa maswali?
Viongozi makini huongea na jukwaa kama hili? Mfano obama kagame nk.

I
mkuu, samahani lakini kauli yako hii juu ya wazee ni kukosa adabu we ulitegemea
nini kwa wazee kama wale ambao umri wao umesinzia? Kwanini na wao wasisinzie?
Si vizuri kuwakosea adabu wazee kiasi hicho, hebu tuwaheshimu wazee wetu!
 
Kgezo kpi umetumjha kujua hao wazee ni waislam?
Acha kukariri matukio si kila avaae kofia ni muislam,km ilivyo si kile asievaa hijab ni mkristo
 
hv nyie mmesikiliza kweli hutuba kama hujasikiliza haina haja ya kuchangia tuache ushabiki jamaa speech yake imejitosheleza kaongelea vyote muhimu

Hizi ngojera rumeshazichoka na hazisadii chochote katika kupunguza au kuyaondoa kabisa matatizi ya nchi yetu ambayo yanaongezeka kila siku. Tunataka ufumbuzi wa namna ambayo yeye kama kiongozi wa nchi atayaondoa ama kuyapunguza matatizo yaliyopo.
 
Wazee hao mnaowaita wa kiswahili ndio waliodai uhuru wazee wenu bara huko walikuwa wanachapa raha.
Sasa mmezinduka mnataka kuleta fujo, fujo zenu huko huko kwenu mkileta mjini hapa mnapasuka.
Mnaleta mambo ya kupendana katika siasa, ukimpenda presidaa ili iweje!
 
Hao wazee walimsomesha mkoloni akawapa nchi bila zogo, na nyie jifunzeni kutoka kwao wasomesheni watawala wawape nchi bila zogo.
Sie wengine wagonga nyundo nyie wanasiasa mnatuzingua tu na maisha yetu tunayapeleka wenyewe
 
Naona hana tofauti na ile hadithi ya Mjomba Mkude.....kweli JK gangwe bhana; yaani ameweza kuwadanganya wazee wa watu kwa macho makavu kiasi kile!!! Huyu jamaa Gangwe eti uchumi wetu ni mzuri kuliko wa Kenya ndio maana 1Tsh ni sawa na 17 kSH. kWELI huyu jamaa gangwe
 
Na kibaya zaidi wazee wenyewe wa kiswahili hawa...wazee wa ghahawa,wazee ambao kwao elimu dunia mwiko,wao kila kitu wanapiga makofi tu

WAZEE WA DARESSALAAAAMU
............... Ni Wazee wa mji gani ambao wan hiyo elimu Dunia !??
 
By the way huyo Kikwete ni nani? mbona mimi simjui au ni nduguye Sokoine?
 
mwenzenu huku mahala kunaanza kuwasha, ngoja nikaimwagie maji itulie maana shemeji yenu hayupo halafu hapa kwa jirani kuna ngoma ya kumtoa mwali yasije yakawa makubwa bureeee!
 
Back
Top Bottom