Mufti: Waislamu acheni KULALAMA, tafuteni ELIMU

Status
Not open for further replies.
hivi mfumo unaouongelea hauongozwi na raisi mwislamu? yaani nyie hata mbebejwe ...kwani nani kawakatalia kwenda shule bwana..nyie wenyewe mmechagua madrasa acha tuwe superior
hatuwezi kuangalia msitakabali wa taife letu wakati tabaka moja linajiona ni superior kuliko jingine. watu wanashangilia kuona waislamu wanakosa elimu sababu ya mfumo mbovu kabisa wa kiutawala
 
hivi mfumo unaouongelea hauongozwi na raisi mwislamu? yaani nyie hata mbebejwe ...kwani nani kawakatalia kwenda shule bwana..nyie wenyewe mmechagua madrasa acha tuwe superior
mfumo mbovu haujaanza leo, toka enzi za nyerere........mwinyi(aliendeshwa kwa rimoti)......... mkapa. kikwete kajaribu kuweka uhuru na ndoo maana sasa hivi tunaweza hata kujadili haya mambo ambayo naamini implimentation yake siyo ya leo lakini tutaiona baadaye. aidha kurekebisha mfumo au kufikia yanayotokea nigeria.
 
Mkandara wewe mzee mwenzangu , unapinga Wakristo kusoma ? Unakosea wamesoma na umewakubali ndiyo maana hujaenda Uarabuni kwa waislam wenzio ila uko huko kwa Wakristo wasomi na umepata elimu leo wewe ni muislam mjanja msomi.Ongelea wakristo wa hapo ulipo .Wa Tanzania ni ma CCM wamechanganyika na waislam wanatumaliza .

Kama mawazo haya yanatoka kwa mtu anayejiita msomi basi ipo haja ya maksudi kuangalia na kubadilisha mfumo mzima wa elimu, mawazo haya huwezi kuyatofautisha na mawazo mawazo ya watu kama kina Yusuph Makamba.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Hamchoki kutuchokonoa! Sasa Mufti kasema inahusiana vipi na siasa....Mtatufuata hadi vyumbani.
Zaidi ya yote hayo kama kweli wakristu wamesoma na kusoma kwenyewe matunda yake ni haya, basi hiyo elimu siitaki.
You always write points. Big up and you deserve a great thinker title.
 
Mufti umeongea ukweli, changamoto ianzie ndani ya Bakwata, mna mikakati gani? Kama ipo ya kuwa na vyuo vya elimu ya juu?

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
mimi ugomvi wangu ni hawa wanaojifanya wamesoma lakini nchi imewashinda na kutuongezea umasikini. stupid. bora kutokusoma kuliko hawa wanaojisifu wamesoma na nchi ni masikini 50years with no vita no any. stupid again and again.
 
Hatua ya kwanza ya kutatua tatizo ni kukubali kuwa kuna tatizo, ndugu zangu waislam haitatusaidia kuendelea kulalamika tu kuwa eti tulikandamizwa na mfumo mbovu, hivi hawa kina kikwete, Safari, Lipumba, Magembe na wasomi wengine wa kiislam walisoma katika mfumo upi? Kuna msemo unasema " unaposukumwa usimlaumu aliyekusukuma, jilaumu mwenyewe kwa kushindwa kuinuka na kuendelea na safari" Sisi waislam tumebaki kuwalalamikia waliotusukuma kwa miaka nenda rudi, imefika wakti sasa tuinuke na tuendelee na safari" newton yule mtaalam wa fizikia katika zile kanuni zake za mwendo anasema kanuni ya kwanza ni kuwa 2 any object will remain in its state of origin until externa factor act upon it" na ile ya tatu anasema " To every action there is equal and opposite reaction" so tusikubali kubaki katika kanuni ya kwanza tutumie kanuni ya tatu kama wao walitudhibiti katika kusoma wakati ule sasa ni wakti wetu ku react kwa kusoma kwa sana!
 
Mufti umeongea ukweli, changamoto ianzie ndani ya Bakwata, mna mikakati gani? Kama ipo ya kuwa na vyuo vya elimu ya juu?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Inahitajika utulivu kuelewa ubaguzi na ufisadi ni mtu mmoja anatumia ubaguzi ili afanye ufisadi,tupige vita ubaguzi ili mbaguzi asifanye ufisadi.ikiwa ni kweli waislam haukosoma basi kuna ubaguzi ....?
 
na mzee mandela alivyotoka tu jela alitembelea bongo tz morogoro pale mbele ya mwalimu alisema ukiona nchi haina maendeleo ujue kuna tatizo la Ubaguzi - alivyoicha morogoro ndivyo alivyoikuta na familia/madaktari wake wakimruhusu kuja morogoro ataikuta vilevile pengine iko nyuma zaidi umeme !
 
nafafanunua hapo mandela alivyoicha morogoro kabla hajafungwa na baada ya kutoka jela na sasa akijaliwa kuja iko vilevile na zaidi umeme hamna! Ukikiacha kichwa chako huru ukafikiri tatizo ni UBAGUZI
 
Hamchoki kutuchokonoa! Sasa Mufti kasema inahusiana vipi na siasa....Mtatufuata hadi vyumbani.
Zaidi ya yote hayo kama kweli wakristu wamesoma na kusoma kwenyewe matunda yake ni haya, basi hiyo elimu siitaki.

Afadhali umesema wewe...maana hao hao ndio wa kwanza kulaumu viwanda vyetu vyote vinakufa, mifumo mibovu, na wakati Mwalimu
Nyerere alijenga viwanda na mashirika zaidi ya 450 kufikia mwaka 1980, na kati ya mashirika yote wenzetu "waliosoma" walipewa zaidi ya asilimia 95% ya nafasi za uCEO, kipindi kile walikua wanajulikana kama GENERAL MANAGERS, na ma SU ya kila aina, hapo hujaongelea ma TX, kwa kisingizio cha kuwa hakukuwa na waislamu wenye sifa.

Matokeo yake sote ni mashahidi. Kufikia mwaka 1985 viwanda na mashirika ya umma vilivyokua vinajiendesha kwa faida havikuzidi 10 kati ya vyote alivyoanzisha Mwalimu, akiwa under pressure ya kureform au nchi icollapse, akawa na busara ya kusoma alama za nyakati, akang'atuka!...pamoja na nia njema kabisa ya kukomboa watu wake... Mashirika yale yalishindwa kujiendesha kwa faida.

Kama elimu yenyewe wanayoiringia ndiyo imetufikisha hapa baada ya miaka 50 ya UHURU... then nashukuru kuwa na elimu yangu ya ngumbaru,
inanitosha kula na kunywa, lakini hainipi fursa ya kuwa FISADI wa mali ya umma.
 
nafafanua tena kundi dogo- angalizo tazama familia yako- kati ya watu kumi, watano wamekwenda shule, kwa maana shule na kazi kwamaana kazi watapata wawili kundi kubwa kati ya watu kumi mmoja/hamna shule ,kazi yuleyule mmoja/hamna.
 
Kaka Bob heshima mbele mkuu,

Naona umekuja kiimani zaidi leo, lakini ni matumaini yangu haujaingizwa kwenye ule mkenge wa mtandio.
Hapana sii swala langu mimi ebu msome Lunyungu hapo juu kisha labda utaelewa kwamba mkenge wameingia wao. CCM wanajua pa kuchomeka gear na mijitu mingine imeingia kichwakichwa... Na sii swala la imani, leo ukisema lolote kuwadharau wanawake hawakosuma au Wagogo nitakupinga.. Uwe mkristu au Muislaam unatakiwa ku blame the system kuwa ndiyo sababu ilowatenga hao wenye mapungufu na sii kujivunia sadaka za jumapili. Na kwa elimu gani basi?...tunashindwa hata kutengeneza pedal itakuwa basikeli!.

Halafu basi vitu vyote vinavyotengenezwa nchini kwa utaalam wetu vinafanywa na watu ambao hawana elimu kabisa. Tazama mfano wa mkokoteni ni msomi gani alovumbua! Hata dawa zinavumbuliwa na waganga wa kienyeji iwe Muarobaini, Mronje ama Mkuyati!!..Nambie hata kitu kimoja ambacho wasomi wetu wameweza kukitengeneza kurahisisha maisha ya mwananchi kama sii kutumikia elimu kama vile kuendesha gari, huwezi kudai kuendesha gari ni elimu bali mtu yeyote alkifundishwa anaweza!..Wakristu wamesoma, wamesoma - wanajivunia ujinga mtupu....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom