Recent content by SINGLE MAN

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mafua na kikohozi kwa watoto Chini ya mwaka Milano.

    JF Dictors naomba mnisaidie, mwanangu ana miaka mitatu anasumbuliwa sana na mafua na kikohozi. Nampa dawa anapona baada ya wiki mbili au tatu ugonjwa uNarudi. Nifanyeje jamani? Msaada tafadhali.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuweni waelewa kuhusu TCU, kama huna sifa usijisumbue kuomba

    Naomba mwongozo tafadhali kuhusu sifa za certificate ya ualimu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya kusoma ukimaliza kidato cha sita kabla ya kwenda chuo

    hizi ni short courses kwa wale wanaosubir kwenda vyuoni. mda unategemea programs unazotaka kusoma. Zinapatikana maeneo mengi tu ya mjini.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya kusoma ukimaliza kidato cha sita kabla ya kwenda chuo

    Basic Computer Applications.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Kwa anaye fahamu scale ya mshahara katika mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania TAA SCALE 7 ni Tsh. ngapi?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ukavu sehemu za siri

    ulevi noma
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri wa UDSM Bashiru Ally na BBC

    si busara kutetea chama chako badala ya kutetea wanyonge; vyama hivi vya udini yaani UKRISTO na UISLAM ni balaa tu. Wakati boss wao yaani MUNGU amekataza kuua,kuzini,uonevu n.k . Sijui kutetea chama chako kwa njia ambayo boss hataki inasaidia nini.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

    sifa ya kuwa Mbunge Tanzania ni Kujua kusoma na Kuandika kiswahili. Kuelimika si kuwa na degree
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada sina mtoto mpaka sasa

    Jibu lake ni Kumwamini Yesu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tuachane na ilani za vyama tuwe na ilani ya Taifa

    Wazo ni zur tu, lakini tatizo ni wasimamizi wa hiyo ilani na sera zake, utawapata wapi /chama kipi, watu wenye uadilifu, wanaochukia rushwa, wasiopenda kujilimbikizia mali, watenda haki, wasiopenda kutembelea V8, wasiopenda kumiliki magorofa yao binafsi, wasiopenda mikaba yenye kuwanafaisha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    umeme umekatika kwa sababu ya hitilafu na sio ccm wala cuf wala chadema ni mambo ya kifundi sio siasa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaye fahamu mpanda girls high school/mahitaji ya shule

    AsANTE SANA KAYOKA NGOJA NIMTAFUTE
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaye fahamu mpanda girls high school/mahitaji ya shule

    Na mdogo wangu amechaguliwa PCB sina Joining instruction, msaada tafadhali kwa anaye fahamu mahitaji ili niweze kufanya maandalizi,tarehe ya kuripoti ni july 2014.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu kuhusu kampuni ya Aggreko inayofua umeme

    Rank za mishahara na allowance mbalimbali kama vile nyumba, usafiri, likizo, perdiem n.k, kwa Engineers na technicians.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Laiti kama kweli Mungu hayupo... Nini itakuwa hatma ya viumbe wanyonge?

    Mungu ni roho, na waabuduo halisi huabudu katika roho na kweli, Mungu yupo na huthibitika kwa imani tu, wala si kwa kuona, wanadam wote wanapozaliwa huwa na roho safi isiyobeba chuki, choyo, roho mbaya n.k mfano mzuri ni watoto wote chini ya miaka mitano hawatendi maovu. Lakini kwa kuwa shetani...
Back
Top Bottom