Msaada sina mtoto mpaka sasa

Msaada sina mtoto mpaka sasa

Isijekuwa mke wako ana matatizo.

Hebu jaribu kumdadisi katika utundu hapo nyuma hakuwahu kucholopoa?
 
nilisoma kwenye biology when i was in form four kwamba mkiwa na rhesus factor tofauti lazima mimba zitoke.
i think kama wewe una positive na yeye ana negative ndo inakuwa sheeda. see a fertility doctor
 
nenda kwa daktari wa masuala ya wanawake/uzazi wote wawili wewe na mkeo,mkamueleze daktari tatizo lenu,hiyo huwa inatokea na wala usimlaumu mwanamke inawezekana tatizo likawa kwako,kuna ndugu yangu alikuwa na tatizo hilo akajaribu kwa wanawake tofautitofauti kuwapa mimba, mimba zote zikawa zinatoka akaenda na mkewe kwa dr Sinabaja wa Uyole Mbeya sasa wana watoto,usikate tamaa ndugu nenda hospitali kabla ya kwenda kwa waganga wa kienyeji.
 
Hakuna uchawi ...
May be huyo mwanamke before hujawa nae alishakuwa na wanaume mwingine na akatoa mimba .best advice ni kumwona gynecologist for further investigation.
 
kuna mambo ya blood group nasikia huwa pia inaweza sababisha mimba isishike kama mkiwa mko tofaut sana... nenda hospital kwanza wafanye utafiti wa kitaalamu
 
Husjari mwenyezi mungu hatakufanyia wepesi hutapata kwa sbb kwa mungu kila kitu kinawezeka .cha muhimu kufanya Ibada .inshaa,allah mwenyezi mungu hatufanyie wepesi wa kufanya Ibada
 
Kama unaamini umerogwa basi amini kuwa wa kukuponya ni daktari, kawaone madaktari wautengue huo uchawi.
 
Inawezekana tatizo lako ni la kurithi. Je baba yako alibahatika kupata mtoto?
 
hahaa zile za kusema "yaani umefanyia hivi nakwambia tutaona labda sio mimi au nife ila kama niko hai nakwambia tutaona na kiapo huku

jamaa akiunganisha matukio anahisi tayari[/QUOTE ]
Aiseee umeongea kwa uzoefu ...........
 
Pole sana nenda hindumandal kuna dokta anaitwa mashavu yuko vizur utafanikiwa nendda na mkeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom