Recent content by Singa Singa

  1. Singa Singa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanao Tarajia Kuoa Huu ndio Usia Mzuri Nilio Uona Maishani Mwangu

    Imenigusa sana hii Alichosema mama kwa Kijana wake wa kiume siku moja kabla ya kufunga ndoa. Mummy’s man! Wewe sasa ni mwanaume. Kuanzia kesho utakuwa na mwanamke mwigine wa maisha yako. Mpishi mwingine na mtu mwingine wa kushare nae siri zako, sitakuwa mimi tena. Mpende mwanamke wako...
  2. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Nataka kusomea IT, naomba ushauri

    good Idea
  3. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Mila hizi za Kichaga mnazionaje wenzangu

    Nani kakuambia upumbavu huo ingekuwa kutolewa nywele mwingine anafuatia kufa mimi mke wangu mchaga marayakwanza na mwisho kunyolewa nyweli ni 1999 kwenyemsiba wa dadake hadi leo amna alie danja........ Warimu wakue
  4. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Nataka kusomea IT, naomba ushauri

    Habari wana jamvi Mm Elimu yangu ni form2 niliishia apo nina Ujuzi mkubwa tu na mambo ya Computer napenda sana kuwa na sever yangu mf. Google mozilla nk. Nilimfata teach mmoja akaniambia unachotakiwa kufanya nikusoma QT miaka 2 dhen nikifalu vizur nikasome chuo kimja kipo Posta kikubwa2 manake...
  5. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Lowassa wanafanana sana!

    Hivi Kati ya hao wote na Yule Baba Kilaza nani M2 wa Sifa
  6. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Kwanini gazeti la Mwanahalisi halioni mazuri ya serikali ya JPM? Muda wote ni kuponda tu?

    Hata mimi hua najiuliza Kanini gazeti la Tazama Tanzania hawaoni mazuri ya UKAWA Wala Maovu ya CCM
  7. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Msaada; nitawezaje kuwa na kikundi cha uchawi mkubwa kama freemason.

    Nakumbuka kama mwaka jana hv nilililetaga mada ya familia 12 za Illuminati Naam kwanza ikumbukwe dini hii inaongozwa na shetwain kupitia mkuu wao Lucifer ikumbukwe wa2 hawa mambo yao na malengo yao haya kuanza Leo wala Jana yalinza tangu Yesu Kristo (nabii Issa)hajazaliwa na nia yao kuja...
  8. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania John Butler Walden (1939 - 2002) a.K.a ''Black Mamba''- A legend in the Tanzanian army (author unknown)

    Nasema haikuwa na tija sababu haikuwa na sababu za msingi na zaulazima ss kupigana zaidi ya kuturudisha nyuma na kutugawa....rejea nyuma tafuta historia ya Nyamagana
  9. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hivi kwanini ukienda kupiga ramli mganga anakuambia umelogwq na wanaume2 au mwanamke 1 ila akutajii majina huwa wana2acha njiavpanda na kuleta hisia mbaya kwa wa2 kwann awakwambii
  10. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania John Butler Walden (1939 - 2002) a.K.a ''Black Mamba''- A legend in the Tanzanian army (author unknown)

    Huyu shujaa aenziwe kwa vita ya kagera......ilikuwa na tija gani kwe2
  11. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Ugali ni chakula cha kimasikini

    Jibu analo Juma Nature
  12. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Jibu ni hivi wazungu huwa wanapenda kuishi sehemu salama kama za kwao ndomaana wamejazana kwenye mkoa uliobarikiwa Lil kovyote tzMOSHI
  13. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Viwango vya gharama daraja la Kigamboni ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Natokea kigamboni napata malalamiko ya dereva wa usafiri was uma(daladala) kuwa kila akipita darajani apo awe na abiria au asiwe na abiria analipia elf7 na kwa Siku anaacha so chini ya Laki na Ishirini(120000) bosi wake ndio magari take yote 6 yanapiga ruti iyo na kwasiku anaacha so chini ya...
  14. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Wanaosafiri kwenda South Africa

    Kwani Jozzy Mpaka Visa
  15. Singa Singa

    JamiiForums Tanzania Wanaosafiri kwenda South Africa

Back
Top Bottom