Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
- Thread starter
- #21
UMEMTUKANA LOWASSA weeeeee....
Simtetei JK, but have displine, wala mm sio mshabiki wa JK, but kama walishaharibu waache wajifie huko, WW KAA MBALI, KARMA will pay them back...!! Unawatukana hao wazee ya nn..? JPM nae akimaliza muda wake UTAANZA KUMTUKANA...!! Hujapigwa wee..!!
Nafikiri huwo ushauri ulipaswa umpe Raisi mstaafu Kikwete na rafiki yake wa zamani Lowasa na siyo mimi, kwamba hawana sababu ya kujiteteta wala kuelezea chochote kile bali waache Historia iwahukumu!
Angalia kwa mfano Raisi mstaafu wa KenyaMwai Kibaki ulishasikia wapi anajitetea kwa lolote, au anakwenda kuteteta record yake kwenye vyombo vya habari na kukinzana na Raisi aliyepo? Ukichukulia mambo mabaya sana yametokea chini ya Utawala wake watu karibia 2000 waliuliwa, hata kwa Wazungu ambako tunafikiri/tunajidanganya kuna demokrasia na tunakoiga George Bush siku amemkabidhi Obama Uongozi alipotea na watu waliongea na kuhukumu walivyoweza lkna hakuna siku alianza kutembea kwenye vyombo vya habari kutaka kuprove chochote bali ameacha Historia ihukumu na huwo ndiyo Uongozi!
Sasa Raisi mstaafu Kikwete atajitetea mangapi na mpaka lini? Yeye tayari ameingia kwenye Historia kama Raisi wa IV wa JMTZ na itabakia hivyo milele, hivyo yote yaliyotokea kwenye utawala wake ni sehemu ya Historia na hana deni na yoyote yule na wala hahitaji kujaribu kujitetea kwa yoyote yule, bali Historia ndiyo inapaswa iwe hakimu!