Recent content by Sinbuma

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hodi wanazengo

    Mgeni ila nilikua mwenyeji nimerudi hapa
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    🤣🤣🤣
  3. S

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa kibinaadamu hasa kwa wezi siyo mzuri

    Hayajakukuta siku yakikuta hutaamini maamuzi utayafanya hadi utajishangaa kama ni wewe
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna tiba nzuri ya gono?

    Tumia kinga! Tumia kinga! Tumia kinga!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya Bontel A8 zipoje?

    Mbona jina baya Bontel kampuni ya nchi gani hii?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga watia aibu, wacheza uchi kushangilia kurudi kwa Fei Toto kambini

    Yeye ndiye aliyekuwa anarecord 😄 kaionea kwa simu yake
  7. S

    JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Samsung all day long
  8. S

    JamiiForums Tanzania Advanced level inaelekea kupoteza mvuto

    Elimu ya advance wizi mtupu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je, mzazi ana mchango katika ufaulu wa mtoto au ni nature ya mtoto?

    Performance nzuri ya mwanafunzi inategemea vyote viwili yaani nature yenyewe ya mwanafunzi pamoja na mangira mazuri ya kujisomea (support ya wazazi kifikra na kiroho), marafiki wazuri, ratiba kutoingiliana, umbali wa shule nk. Kikipungua kimojawapo katika hivyo basi lazima performance ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Somo la Civics linalofundisha wanafunzi katiba ya nchi linafutwa

    Huku tunapoelekea sijui kama tutafika kwa kweli kama haya ndiyo maoni ya wenye dhamana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: jinsi ya kumhamisha mwanafunzi wa secondary kutoka private school kwenda shule ya serikali

    Mpeleke shule ya serikali ili baadae afaidi mema ya HESLB
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na mfumo wa boarding school

    Boarding school zinasaidia wanafunzi kuinua kiwango chao cha elimu wakiwa bweni watoto ni kusoma tu tofauti akiwa anajichanganya mtaani.
Back
Top Bottom