We jamaa unachekesha Sana
iPhone 14 Pro Max ni mavi tu mbele ya S23 Ultra
*S23 Ultra ina 10× optical zoom wakati 14 Pro Max inaishia 3× optical zoom. Zooming ya Samsung ni next level huyo iPhone anakalishwa
*Inachekesha sana kuona flagship ya sasa (iPhone 14 Pro Max) inakosa fingerprint scanner. Hiyo Apple Face ID ni overhyped tu na kamwe haiwezi kuwa more secure than fingerprint scanner ya kwenye S23 Ultra
*Inachekesha sana kuona Apple ana-advertise kuwa iPhone 14 Pro Max inafika brightness ya 2000nits wakati S23 Ultra ina 1750 nits tu na bado kwenye real life S23 Ultra ni brighter than iPhone 14 Pro Max
*Inachekesha sana kuona mtu anasema vioo vya iPhone vina resolution kubwa kuliko vya Samsung wakati S23 Ultra ina resolution ya 1440×3088p hiyo iPhone 14 Pro Max ina 1290×2796p.
*Inachekesha sana kuona mtu anasema vioo vya iPhone vinaonesha details vizuri kuliko vya Samsung wakati pixel density ya kioo cha iPhone 14 Pro Max ni 460ppi, huku cha S23 Ultra ni 500ppi
*Inachekesha sana kuona kampuni ya Apple inatumia panel ya IPS LCD kwenye simu ya bei kama iPhone 11, cha ajabu iPhone 13 bado ina 60Hz refresh rate

*Inachekesha sana kuona mtu anasema hakuna simu kama iPhone wakati S23 Ultra ina stronger CPU, stronger GPU, faster memory type na high gaming performance kuliko iPhone 14 Pro Max.
*Inachekesha sana kuona base storage ya Samsung Galaxy S23 Ultra ni 256GB, lakini kwa simu expensive kama iPhone 14 Pro Max bado base storage ni 128GB

*Inachekesha sana kuona S23 Ultra inakuja na fast 45W wired charger Ila mpinzani wake iPhone 14 Pro Max analeta utani wa slower 27W charger na anaiita Fast charger

*Inachekesha sana kuona wireless charging kwenye S23 Ultra ni 15W huku iPhone 14 Pro Max ni utani mwingine wa 7.5W

*Inachekesha sana kuona flagship ya sasa inatumia karibia 2hrs ku-charge simu kutoka 0% hadi 100%
Samsung Galaxy S23 Ultra (charging from 0% to 100%)... 59min
iPhone 14 Pro Max (charging from 0% to 100%)... 1hr 52min
*Inachekesha sana kuona Samsung Galaxy S23 Ultra inarekodi 8K videos kwenye kamera ya nyuma ila iPhone 14 Pro Max bado inarekodi maximum video za 4K tu

*Kuna comment imenichekesha Sana, eti mtu anasema kwa kuwa Samsung inatumia Android basi ipo Sawa na Tecno.
Samsung Galaxy S23 Ultra ina feature ya Samsung DeX na iPhone haitokuja kuwa na feature nzuri kama hii miaka ya karibuni
Samsung is better than iPhone.
Sio tu ni opinion yangu, bali ndio ukweli pia