Recent content by Simba2000

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anatoka na wanaume wengine ila naogopa kumwambia naombeni ushauri wakuu

    Ukishalipata uje upewe ushauri...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Unaitambuaje TV feki?

    Unatumia stabilizer?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

    Si ungechukua namba za simu za sehemu uliponunulia mizigo?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kauli ya mke wangu ina maana gani?

    Bado umelewa?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Design nzuri ya kisasa au hata mgongo wa tembo kuezeka nyumba ya Floor Plan hii

    Yaan utoke na chakula jikoni upite toilet, na room ndo uende dinning? Hapana. Just google utapata plans nzuri sana.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera kwa wote walioamua kuoa

    Ukikua utaacha.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

    Ungeelezea na kipato cha mtu wa kawaida uko ni shilingi ngapi, ili ndo tujue gharama ni kubwa au ndogo au kawaida.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

    Unatakiwa uwe na mtungi wa reserve.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

    Tehtehteh hatari sana.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

    Daaah hhhaahahaah
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

    Atakua alilazimishwa kuolewa. Mleta habari kasema alirudi nyumbani wazazi wakasema umeshatolewa mahari hatuwezi rudisha ng'ombe.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno

    Shida ni kiti cha hlo gari. Kuna wengine wanaongeza vtu kwenye kiti kama mto n.k, na ukiuweka vibaya ndo unaleta shida.
Back
Top Bottom