Unaitambuaje TV feki?

hisense hizi frameless ziko poa yaani model latest za 2021 mfano UHD kwa nn nikakwambia ivyo kuna sehemu nyingi za kubet na vibanda umiza vya kuonyeshea mpira wanatumia izo na zinapiga kazi masaa mengi na ile dstv sio poa ila zile sijui LED achana nazo zinachuja ila LED za lg ,samsung na sony ziko bomba

ila katika makapuni hayo ya nchina wa kwanza nampa hisense,then TCL na starx
kuna jamaa anayo hiyo unayoisema ila cha ajabu inakataa kupokea wifi nadhani alipigwa. kapewa fake
 
Binafsi Nina shida Kama week mbili zilizopita nilinunua smart TV Aina ya TCL lakini nikiitumiaaa Kuna muda inafika inajizima yenyewe mpaka niiwashe Tena kwa remote je nitatizo la kawaida au nishida msaada?
Angalia kama inajizima kwa muda sawa kutoka mara ya kwanza na ya pili (mfano kila baada ya nusu saa au robo saa) kama ndivyo, turn off auto turn off
 
Samsung na LG ni brand nzuri za tv ila kwa mimi naona LG is the best kwa tv. Mziki sony na friji samsung
Uko vizuri. Hizo ndio brand za uhakika. Ila LG nao wako vizuri pia kwenye friji. Ninayo moja nimenunua tangu mwaka 2007 na bado inadunda. Kwenye muziki kwa kweli Sony wako vizuri sana!
 
Back
Top Bottom