Recent content by simba zee

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NASAHA KWA WANANDOA NA WANAOTALAJIA KUINGIA KWENYE NDOA

    Bonge la somoo hasa kwa Mimi ninae jiandaa kuingia katika ndoaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za wake wengi katika ukristo

    Kweli sisi wakristo tumepewa agano jipya baada ya Kristo kufa msalabani. Ndio maana hata zile adhabu za kule agano la kale hazitumiki tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania Banki ya Dunia yatuanika: Tanzania tuna upungufu wa nguvukazi yenye elimu ya kuendesha uchumi

    Mi huwa na mkumbuka Sana Trump. Maana anasema Wa Africa hatuwezi kujitawala wenyewe mpaka tutawaliwe tena miaka mia zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Agizo kwa wanaume wa Dar toka kwa wanaume wa mikoani

    Ndugu Sasa huyu mtume tumuweke kundi gani Kati ya wanaume wa Dar au wa mikoani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Agizo kwa wanaume wa Dar toka kwa wanaume wa mikoani

    Ila wanaume wa mikoani akili zao mbovu sanaaa Maana unakuta mtu mzima anamaswali ya kipumbavuu. Eg utaskia eti Dar Kuna mwendokasi..??? Mwengine utasikia eti Dar Kuna lami kila sehem..?? Mwengine eti Dar Kuna madem wengi. Eti Tigo ndio ninii..??? Yaani mbwa kwelii nyie wa naume wa mikoani Sent...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kujifunza kitu hasa kwenye computer.

    mosesmamseri@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kujifunza kitu hasa kwenye computer.

    Mimi ni kijana muajiriwa Natamani sana nijifunze program yoyote kwenye computer kupitia private chuo popote Dar pale tuu napokuwa na muda na fasi. Ratiba yangu inaweza kuwa tofauti na wanafunzi wenzangu. Bila kujali gharama yeyote. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi: Tuungane kupinga huu wizi

    Wezi Sana hawa mbwaaaaan Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

    We muoga du!!!? Unasalimu amri kwa Enjo Bonge Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza sana WCB kwa kutambua kipaji kizuri cha video qeen

    Nlikuwa nikitazama vedeo Music ya nyimbo show me kutoka WCB Richi Mavoko akiwa na Harmonize. Video Queen alie mtumia ni mkali sana na amecheza vizuri sanaa. Pia ni dada anaetambua kazi yake na kuitendea ilivyo stahiki. Tofauti na hawa ma Vedeo queen tuliowazoea Gigy Money na Amber Lulu. Napia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania JF ichangiwe kwa ulazima sasa...Tunachokipata humu ni kikubwa sana!

    Mada sio kuwalipa tuu Bali mtandao wetu huu unakuwa upgrade siku hadi siku.Kwani watoaji nformation hamlazimishwi kutoa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    Website si umesha pewaaa Kila kitu utafutiwee we naniii...???[emoji35] [emoji35] [emoji35]
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ngada

    Starehe za watu Ngada ni taam nzurii huwezi fananisha na ngada. Korea kaskazini wenyewe wameidhinisha na hatuwafikiii.Unakuta mtu kazi yake kudiss vilevi vya watu lakini yeye mwenyewe maisha ma bayaaaa kila siku ni uvivu kukaa na kuponda serikali hana hata lamuhimu analo fanya.
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kwanini mnasahau kupaka makalio mafuta?

    Mi natamani sana ni mle kungwi Kama huyu nione mapenzi mubhasharaaa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Ebhana Pamoja jamaa kuwa na vyeti feki ila upande mwengine ni Jembe. Kutoka vyeti vya magumashi mpaka ukuu wa mkoa. Hatakama ni Mimi Rais na muacha. Koz kuna watu wengi wana vyeti vizuri wanashindwa hata kupiganisha udiwani na sehem nyengine mbalimbali. Mwacheni Mana hata hiyo katiba inaonesha...
Back
Top Bottom