Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,325
Hatari sana... Mkuu.Huwa namshukru mungu sana, ni heri nipige story na mtu anayenuka pombe kuliko mtu anayetoa harufu ya sigara aina zote. Pia hujalitendea haki jukwaa maana ni lazima tuungane kupinga madawa ya kulevya popote pale tulipo
Sawa mkuuMkuu hiyo sio Ngada, wala sio dawa ya kulevya.
Hiyo ni Bhangi, namaanisha Jani Takatifu toka enzi na enzi.