Nlikuwa nikitazama vedeo Music ya nyimbo show me kutoka WCB Richi Mavoko akiwa na Harmonize.
Video Queen alie mtumia ni mkali sana na amecheza vizuri sanaa. Pia ni dada anaetambua kazi yake na kuitendea ilivyo stahiki. Tofauti na hawa ma Vedeo queen tuliowazoea Gigy Money na Amber Lulu. Napia hata kuvamiwa na wasanii wa Bongo movie.
Huyu Dada amecheza Video queen vizuri sanaaa. Na pia hata kuonesha uwezo mzuri katika fani yake. Sio unakuta Video queen nyimbo zote hujui kucheza Wala hata kusheki.kutwa kuonesha meno tuu kwenye nyimbo.
Kwa kazi hii najua WCB watakuwa wamemlipa mpunga mzuri kwa Dili zuri na kipaji cha huyu Dada.