mi naamini Tido ni mtu anaesimama kwenye ukweli na si mtu wa kuyumbishwa kama bendera inayofuata upepo,ukifuatilia kwa makini kwa nini Tido katoka TBC utagundua kuwa ni kusema ukweli,kusimama kwenye ukweli,hana mtu wa kumsumbua mi ninavoamini kama umeamua kufanya kazi basi fanya kazi kazi bila...