Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Wananchi wa Arumeru ndio waliopiga kura na hawana ugomvi wa moja kwa moja na Lowassa. Au unamaanisha kuwa kazi ya KUIBA kura ilikuwa ngumu kwa kuwa makada waligomea wizi au walihujumu? Kama suala ni ballots ujue hata ccm wangemuweka Nape kugalagazwa kulikuwa pale pale. Give credit kwa kampeni walizofanya CDM ndio zimeleta ushindi na sio conspiracy.